Jina gani zuri naweza kulitumia kwenye bar yangu?

Nuoxian

Senior Member
Mar 15, 2020
169
237
Habari ndugu, jamaa na marafiki katika mihangaiko yangu ya hapa na pale baada ya kusoma mawazo ya wadau humu, nimefanikiwa kufungua Bar nimekuja kwenu ili nipate jina zuri ambalo naweza kulitumia kwa ajili ya hiyo bar.

Asanteni.

1620825666478.png

 
Taifa bar and resort

Jipigie Bar (VIP section, bar in the bar)

Karibu sana mkuu nikupatie excel itakayokusaidia katika kusimamia stock pamoja na sales.

Niliwahi kuwa bar manager kwa miezi mitatu, nilipata uzoefu kidogo wa kusimamia hii biashara

Jitahidi sana kuangalia aina za vinywaji vinavyoenda sana visiwe vinakosa

Linda sana watu wa counter, hawa huwa ni wezi sana, unapoajiri mtu wa counter hakikisha anakuletea wadhamini na barua ya utambulisho. Nashauri hivi kwa sababu wengi wao sio waaminifu. Wanaweza kimbia na mauzo.

Kuhusu wahudumu
Wahudumu kulingana na size ya bar yako, unapaswa kuwa na uniform (t-shirt) ili iwe rahisi kum identify muhudumu.

Pili, train wahudumu wako kuwa charming all the time

Wahudumu wako wasiwe na tabia ya kunywa na wateja sana, pia tabia ya kugombea wateja (kuleta mahusiano kazin) try to control it.

Other wise nikutakie kila la kheri ktk biashara yako mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom