Jinsi gani naweza safirisha mayai?

Ziggler

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
378
127
Habari wakuu
Nimepata tenda ya kreti za mayai (zaid ya mayai 9,000) kadhaa ya kienyeji nayotakiwa kusafirisha from Arusha to Dar.

1.Kwa jinsi mayai yalivyo fragile nilikua naomba kujua kutoka kwa wenye experience ni njia gani salama nayoweza kusafirisha huu mzigo kwa umbali huu bila uharibifu

2. Pia mabasi yetu ya mkoani haya huwa yanasafirisha mizigo ya aina hii?

Asante
 
Habari wakuu
Nimepata tenda ya kreti za mayai (zaid ya mayai 9,000) kadhaa ya kienyeji nayotakiwa kusafirisha from Arusha to Dar.

Kwa jinsi mayai yalivyo fragile nilikua naomba kujua kutoka kwa wenye experience ni njia gani salama nayoweza kusafirisha huu mzigo kwa umbali huu bila uharibifu

Asante
Mkuu, hiyo tender umeshalipwa?ama utalipwa mzigo ukifika?

Nadhani ukiyaweka kwenye tray ukafunga vizuri (cover juu) yatafika vizuri
 
Mkuu, hiyo tender umeshalipwa?ama utalipwa mzigo ukifika?

Nadhani ukiyaweka kwenye tray ukafunga vizuri (cover juu) yatafika vizuri
Ningependa kujua pia wasafirishaji wanaochukua mizigo ya aina hii
 
Huwezi ukawakusanya wakurya kitunda akukusanyie upeleje,tray 9000 nyingi sana.
 
Kama mdau alivyoshauri hapo juu
Kuna seem niliona wameyafunga hivi wasafirisha kwenda mikoa ya mbali

20191118_113720.jpg
 
unaweza yafunga kwajuu na nailoni yakiwa kwenye trey then kwenye kibebeo kama ni box basi uweke na maranda ile sehemu inayobakia ili yasicheze
 
unaweza yafunga kwajuu na nailoni yakiwa kwenye trey then kwenye kibebeo kama ni box basi uweke na maranda ile sehemu inayobakia ili yasicheze
Sawa mkuu....haya mabasi yetu ya abiria ya mkoani yanakubali kusafirisha mzigo kama huu?
 
Sema kama utatumia Crate kama ulivyosema hufuki popote Mkuu
 
Kama mdau alivyoshauri hapo juu
Kuna seem niliona wameyafunga hivi wasafirisha kwenda mikoa ya mbali

View attachment 1785470
Njia hiyo ikishindikana changanya na pumba za mpunga mahindi,unachukua box Kama hivyo unaweka pumba chini alafu unapanga mayai,unaweka pumba Tena unapanga hivyo hivyo mzigo unafika salama kabisa
 
Back
Top Bottom