S Stayfar JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 1,097 Reaction score 2,312 May 17, 2021 #1 Wakuu Msaada, nina Kambale wakavu, nikawauzie wapi kwa haraka na ni jinsi gani ya kuwa treat wasiharibike mapema. Napatikana Kimara kwa no 0715270461.
Wakuu Msaada, nina Kambale wakavu, nikawauzie wapi kwa haraka na ni jinsi gani ya kuwa treat wasiharibike mapema. Napatikana Kimara kwa no 0715270461.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,598 Reaction score 65,047 May 17, 2021 #2 Wauzie mama ntilie kwa mkopo,ili mzigo uishe haraka
Cleverman324 JF-Expert Member Joined Nov 17, 2018 Posts 417 Reaction score 673 May 17, 2021 #3 Stayfar said: Wakuu Msaada, nina Kambale wakavu, nikawauzie wapi kwa haraka na ni jinsi gani ya kuwa treat wasiharibike mapema. Napatikana Kimara kwa no 0715270461. Click to expand... Wanahitajika sana mbagala kwa bei ya jumla
Stayfar said: Wakuu Msaada, nina Kambale wakavu, nikawauzie wapi kwa haraka na ni jinsi gani ya kuwa treat wasiharibike mapema. Napatikana Kimara kwa no 0715270461. Click to expand... Wanahitajika sana mbagala kwa bei ya jumla