Bei ya pikipiki boxer BM150

mzabhe

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
234
250
Wakuu sorry naomba kujua bei ya boxer BM 150 mpya, pia naomba kujua kama saiz bado zinapatikana kwa sabab nliskia zlifungiwa kuingizwa nchini
 
Dullah07

Senior Member
Apr 12, 2017
152
500
Boxer 150 inacheza kati ya 2.7 hadi 2.8 millioni ila 125 ni nafuu inacheza kati ya 2.45 hadi 2.5 millioni na ni nzuri sana na zipo za muonekano tofauti so una uwanja mpana wa kuchagua.
 
mzabhe

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
234
250
Boxer 150 inacheza kati ya 2.7 hadi 2.8 millioni ila 125 ni nafuu inacheza kati ya 2.45 hadi 2.5 millioni na ni nzuri sana na zipo za muonekano tofauti so una uwanja mpana wa kuchagua.
Na vp upatikanaj wake
 
Dullah07

Senior Member
Apr 12, 2017
152
500
Na vp upatikanaj wake
Kama ni mkazi wa dar k/koo zipo nyingi sana ktk maduka au unaweza fika dukani kwa mo pale raundi abauti inayokwenda sentro polisi na mivinjine au bandarini kuna yadi ya mo zipo hadi zinamwagika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom