Jamani napenda kujua Interets Rate za Fixed Account kwa Bank zifuatazo kwa mwaka kwa kiwango cha Million 100.
Bank ABC
Equity Bank
Finca microfinance
DCB bank
Nashukuru kwa kushare taarifa
Habari, nipo kwenye process ya kufungua Company ila kwa sasa nina Business Name, na nataka kuhusika na masuala ya usafi sehemu mbali mbali, naitaji watu wa tatu wa kushirikiana nao. Kwa...
Nilinunua subwoofer miaka 4 iliyopita lakini leo wakati naisafirisha Kwenda shambani nilikamatwa na askari ambao baada ya kuikagua pikipiki hawakupata kosa wakahamia kwenye boksi ambalo niliweka...
Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume...
Mimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa.
Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye...
Wakuu.
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Moja kwa moja kwenye mada wakuu, katika bajeti ya Mhe. Mwigulu Nchemba alipendekeza kuwepo na tozo katika kila miamala ya kifedha itakayokuwa...
Nimepewa wazo la biashara ya Samaki wabichi. Unachukua samaki wabichi aina kadhaa kutoka kwa wavuvi Bagamoyo kwa vipimo vya ndoo unaepeleka moja kwa moja kwenye maduka ya samaki Kariakoo. Jamaa...
Habari naomba kuuliza changamoto za uuzaji wa cement kwa rejareja na faida zake na hasara zake. Pia naomba kwa mwenye uzoefu chumba kimoja cha futi kumi kwa kumi kinachukua mifuko mingapi ya...
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka...
Habari wadau.
Kwa mwenye idea na mikopo ya ujenzi wa nyumba za Biashara.. Naomba ushauri.
Nina eneo ambalo tayari kuna nyumba 2 ambazo kwa sasa zipo kwenye hatua za mwisho niingize wapangaji...
Nimejaribu kuangalia hela yetu ya Tanzania kwa upande wa noti zote lakini nimebaki na swali moja najiuliza na bado sijapata jibu! kuhusiana na hii noti ya shilingi mia tano ile ya zamani na hii...
Wadau, natumai Weeknd inaenda vizuri,
Nilikuwa na mpango wa kufungua Biashara ya kuuuza chipsi kuku (na Mungu akijaalia basi walau nyama choma mchana). Ila kwa kuangalia harakaharaka naona kama...
Kuanza biashara kunahitaji maandalizi. Nikimaanisha unahitaji kuwa na maarifa flani tofauti kulinganisha na wale uliowakuta ili ata nao pia wajifunze kutoka kwako. Ikiwezekana na wewe uendelee...
Nimeona bidhaa nyingi zadukani zikinunuliwa kwa mtaji mkubwa return yake ikiwa na faida ndogo sawa na box la Big G la 1500 faida 500.
Ona hi chumvi ya Neal, for wholesale inauzwa 10500 Hadi store...
Ni wazi kwa dunia ya Sasa Ni muhimu kujiongezea kipato hata Kama una kazi zako nyingine unafanya mida ya mchana ofisini ila Kuna nyakati nyingine za usiku mwili unagoma kabisa kulala unatamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.