Biashara ya samaki

Biashara ya samaki

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,739
HABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na usafiri mnzuri wakuwa peleka arusha
 
Bei ya samaki ina badilika wiki hadi wiki, ni vyema ukatembelea soko la feri kujuzwa zaidi
 
fursa ya samaki ipo kwa wingi sana arusha,kule kuna visamaki vidogo vidogo
 
nilishawahi kutoa samaki kutoka mwanza kwenda arusha wakiwa wamekaangwa kwa boksi
 
HABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na usafiri mnzuri wakuwa peleka arusha
Sidhani kama samaki wa maji chumvi kwa Arusha utatoboa ni ngumu ngumu sana, fanya tena utafiti wako
 
HABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na usafiri mnzuri wakuwa peleka arusha
Njoo uwe unachukulia samaki tanga, nitakua nakuuzia 7500 tsh kwa kilo.
Samaki km vile tasi, changu nk.
Pia pweza naweza kukuuzia kwa bei iyo
 
Back
Top Bottom