Tupeane michongo ya machimbo mkoani Katavi

Tupeane michongo ya machimbo mkoani Katavi

ssssoki

Member
Joined
Dec 23, 2019
Posts
6
Reaction score
11
Jamani, kuna yeyote anayeishi Katavi, hasa Mpanda, au mwenye ndugu wa huko?

Nimesikia biashara ya nguo za mtumba inalipa sana huko. Kama una uzoefu au unafahamu hali halisi ya biashara hiyo, naomba unipe taarifa.

Unaweza kunitumia ujumbe binafsi (DM). Nitashukuru sana.
 
jamani kwa aliko katavi au mwenye ndugu uko katavi mpanda mimi niko ukuu mkoani naskia biashara ya mtumba inalipa ukoo katavi sana kwa mwemye kukuwa kuhusu hili naomba anijulishe.. njo dm unijulishe
Mmmm!!huo utafiti wako jaribu kuufanya tena, nimeishi sana mpanda, lakini hilo cjaliona, ni kawaida tu, na kule nguo special ndio wasukumu wanavaa sana, na ni kipindi cha mavuno kuanzia mwezi wa 5!!!
 
mkuuu naomba mawaslino yako nazani tukizungumza unaweza kunipa darasa
 
inategemea ila sijajua mana naona hapa kwalakwacha kaiwaida tu siku ya gulio,useme uende kule mizengo pinda napo sijaona mitumba zaid zaid naona hapa karibu na sheli ya gbp kuna kagulio flan hiv kila wekend na nguo bei rahis sana za mitumba nafikir wanatoa mbeya.hata viatu navyo kuna jamaa.hapa kidavashari police mess anaweka kagoli kake ka viatu naona nae anajitahid kama unaenda kashaulili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani kwa aliko katavi au mwenye ndugu uko katavi mpanda mimi niko ukuu mkoani naskia biashara ya mtumba inalipa ukoo katavi sana kwa mwemye kukuwa kuhusu hili naomba anijulishe.. njo dm unijulishe
Binafsi sidhani kama kuna soko kubwa kihivyo. Ila kama unahitaji ushauri chochote kuhusu mpanda/katavi unaweza kunichek
 
Back
Top Bottom