Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari
3 Reactions
33 Replies
9K Views
• Mshindi mwingine na Jackpot bonus ya SportPesaamepatikana. • Ni TZS 21,191,497 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwa 2000/= tu. Mkazi wa Ngara, Bukoba Expectance S. Gwomeka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua biashara ya vitafunwa kama inalipa. Nina mtaji wa sh 300,000/= je, naweza kufanya biashara hii kwa mtaji huo, namaanisha vitafunwa kama maandazi, sambusa, chapati, eggchop...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha. Mimi kama...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Naomba wale wajuzi wa masuala ya maadili mniambie wazi kua FOREX ni kamali? Ili nisijiingize japokua wazo langu ni hili asanteni
2 Reactions
61 Replies
13K Views
Habari wakuu! Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii. Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Serikali yakabidhi mfano wa hundi ya shilingi bilioni 688.6 kwa kampuni ya Arab Contractor kwa ajili ya kuanza ujenzi wa mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya mto Rufiji. Mkandarasi ujenzi...
14 Reactions
200 Replies
30K Views
The Tanzanian shilling has gained ground against the United States dollar in the past two weeks, thanks to a steady flow of the greenback from Tanzanian tourism, exports and funds from development...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
As tunaangaika kutafuta njia mbalimbali za kuinvest na kusaka kipato, nimekuwa interested na swala zima la stocks trading. Nimejaribu kufatilia sana lakini bado sijapata jibu la kuniridhisha...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Ndugu Wana JF, ni muhimu kushirikishana fursa na kushirikiana. Nina kitalu/Ploti yenye madini aina ya Ruby nyekundu/damu ya mzee inayong'aa. Eneo liko full madini haya ya Ruby ingawa hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari? Jina Langu ni Mr Equator. Ni kijana ambaye najaribu kuyatafuta maisha. kwa njia mbali mbali. Nimekuwa nikitafuta wazo la biashara ya pembeni (Side-hustle) ya mtaji kati ya Laki 1-2...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari ya leo JF Members, Naomba msaada juu ya Vifaa Muhimu na Garama zake kwenye Ununuzi kwa ajili ya kufungua kituo cha kuoshea Magari. Eneo nitatafuta, natumaini ntapata msaada wenu wadau wa...
1 Reactions
0 Replies
974 Views
Bei ya mafuta imeendelea kupanda katika masoko ya barani Asia baada ya mkutano wa nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC kuvunjika bila makubaliano juu ya mpango ulionuiwa kuongeza...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
CASH IS NOT THE KING Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni ngumu kuelewa ninachomaanisha.Hebu ngoja nikupe mfano ndogo tu. Suppose kulimo cha mpunga kingekuwa kinalipa bila loss maana yake aliyeinvest eka 1 mwaka hii mwakani ataweza kulima let say eka...
3 Reactions
1 Replies
409 Views
kwanza kabla ya yote nitangulize salamu kwa member wote...! leo nimeleta changa moto yangu nikiwa na imani ya kupata uvumbuzi kipindi kirefu nilikuwa nikitamani kuanzishaa ya duka la mahitaji ya...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao...
3 Reactions
15 Replies
11K Views
Nimeliongelea hili swala mara nyingi na sitaacha hadi nitakapoona hatua zimechukuliwa. Chupa za plastic kwa sasa sio tatizo kwani kuna waokota chupa ili ziweze kuwa recycled. Lakini kuna baadhi...
15 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo...
14 Reactions
93 Replies
49K Views
Back
Top Bottom