Sasa hivi makampuni ya simu wamekuwa wajanja,Kwa mfano wakiona eneo lako linafaa kujengwa mnara kinacho fuata ni wahusika wa kampuni kuja kivingine kama wateja wa kawaida ambao wanataka kununua kiwanja hicho.Na kwa kuwa watakuwa wanakihitaji kiwanja hicho kwa matumizi wanayo yajua wao bila ya ww kujua watakupatia mpunga mrefu tu.Na baada ya hapo wakianza kujenga ndio utajua matumizi sahihi ya kiwanja na utabakia ukisema"NINGEJUA?",huku mnunuzi anakuwa anapiga mpunga mrefu kulingana na mkataba alioingia.