Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ni wakati wa kujifunza kuhusu uwekezaji katika hisa. Naam — wakati ni sasa. Si kesho, ni leo. Jifunze na uanze kuwekeza kwa minajili ya kukua kifedha. Namba zinaonyesha sekta ya fedha inaendelea...
2 Reactions
6 Replies
323 Views
Nataka nifungue Club ya Kisasa niwe nauza hizi pombe. Komoni (Comon) Mbege Togwa Kangala Chang'aa Kimpumu Wanzuki Mnazi Ulanzi Kibuku Konyagi Mwitu Eneo litakuwa safi na lenye wahudumu wazuri...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
UCHAMBUZI WA CRDB BANK PLC (DSE) 1. Overview ya Kampuni (Business Position) CRDB Bank ni moja ya benki kubwa zaidi nchini Tanzania, ikiwa listed kwenye Dar es Salaam Stock Exchange. CRDB is a...
6 Reactions
17 Replies
655 Views
Habar wakuu nataka kufanya biashara ktk sector ya elimu hasa English medium pre and primary school,katika wilaya nilipo zipo 6 je ntatoboa kweli na pia Kuna uhaba wa secondary hakuna secondary...
2 Reactions
11 Replies
702 Views
Wakuu habari , Nahitaji ushauri ninataka kuanzisha biashara ya pombe kali na pombe laini lakini za kuimport kama brutal, mliotembea ni pombe ipi nikiileta Tanzania naweza kupata faida na kukuza...
3 Reactions
21 Replies
598 Views
Habari za usiku wanajamvi. Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara. Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya...
18 Reactions
55 Replies
3K Views
Usajili wa Kampuni unahitaji documents nyingi, moja ya document muhimu ambayo kama ikikosewa utakataliwa usajili ni "Katiba ya Kampuni" Ili katika yako iwe imekamilika inahitaji kua na vipengele...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mlikuja vizuri, mkatufungia router ndani, mkachukua details zetu na mkatutumia control number tukalipia 55,000. Cha kusikitisha tangu tulipie mwaka jana mwezi wa 8 hadi leo huduma haijawahi...
8 Reactions
52 Replies
961 Views
Vijana wengi hasa wanapohusdhuria semina huambiwa maneno matamu sana kuhusu biashara "Mtumishi hawezi kuwa Bakhresa", "Unajiamulia siku ya kwenda", "wewe ndie boss", n.k. hakika ni vitu...
13 Reactions
29 Replies
876 Views
Wale risk takers chimbo la bidhaa nafuu njooni hapa Ununio Majahazi wanaleta bidhaa toka Zanzibar niwendo wa kupiga pesa tu. sukari kilo Tsh 800
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukitaka kujifunza sales and closing skills angalia hizi movie 1. The Wolf of Wall Street “Jinsi ya Kumfanya Mteja Aseme NDIYO Haraka” 2. Glengarry Glen Ross “Ukishindwa Kufunga Deal, Umefeli...
2 Reactions
14 Replies
383 Views
Wajasiriamali wengi hapa Tanzania wanashindwa kudumu kwa muda mrefu hapa nchini kwa sababu mbalimbali. Kodi kubwa ya pango, madeni, kodi za TRA na Halmashauri n.k Lakini bahati mbaya wengi wao...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini Wana jukwaa na poleni na majukuku ya kila siku. Leo ningependa tujadili kuhusu biashara ya export ambayo kwa namna Moja au nyingine ni biashara inayo fanywa na watu wachache na hii...
2 Reactions
6 Replies
432 Views
NAHITAJI Kwa ajili ya duka la vipodozi, mafuta losheni na nini na nini. Usipoint Kwa MTU au kwenda MOJA kwa moja Kwa supplier tuanzie hapa. Pasipoeleweka nitaenda ila itakuwa balaa NB sina...
4 Reactions
15 Replies
362 Views
Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
CRDB Bank Plc imetangaza rasmi gawio (dividend) kwa mwaka wa fedha ulioisha 31 Desemba 2025, na hii ni taarifa muhimu kwa wawekezaji wote wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). DIVIDEND...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kimsingi watu hawakumuelewa huyu mwamba lakini alikaa marekani kama miaka 10 hivi na kuamua kurejea Bongo Baada ,ya kurudi bongo akaamua kufanya biashara ya genge, watu waliona ni kama kichekesho...
14 Reactions
34 Replies
1K Views
Nina mzigo ninaotaka kusafirisha, hivyo nahitaji broker au dalali atakayenisaidia kunitafutia gari linalofaa kwa usafirishaji huo kwa haraka na kwa gharama nafuu. Piga simu tufanye kazi 0682493359
1 Reactions
0 Replies
150 Views
Jaman mm n kijana miaka 23 nipo dar nahitimu chuo soon,, ila kama mnavojua ajira zetu sisi son of peasants ni uwinga..naombeni mwongozo ndugu zangu nahitaj niwe winga kariakoo niwe nakaa na mtu...
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Back
Top Bottom