Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu habari, Hivi hii hali ya baadhi ya siku unakuta kuanzia asubuhi hadi jioni hupati wateja kwenye biashara yako badala yake wanakuja wanaoulizia ulizia tu na kuondoka 😀 Hivi hii hali huwa...
15 Reactions
161 Replies
19K Views
Habari zenu wadau, Mtaji wangu ni milioni 3-4, naombeni ushauri wa biashara ya kuweza kuniingizia kiasi cha kuanzia elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku. Nina miaka 30, nipo Dar, jinsia Wa kiume...
12 Reactions
107 Replies
24K Views
Habari Wana JF Nimejitafuta hvyo namtaji wa 10M ,malengo yakujikusanya yalikua nikufungua car wash Naomba kufahamu mashine kampuni nzurii kwaajili ya biashara ya car wash isiyoharibika hovyo 🙏🙏
3 Reactions
5 Replies
308 Views
TCC Plc Yapendekeza Gawio Kubwa Zaidi – TZS 650 kwa Hisa Tanzania Cigarette Company Plc (TCC) imependekeza gawio la juu zaidi kwa mwaka wa fedha 2025, ikiendelea kujiimarisha kama moja ya dividend...
3 Reactions
1 Replies
396 Views
Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Pembejeo Nchini Tanzania Kufanya biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo nchini Tanzania kunahitaji kibali rasmi kinachoitwa leseni ya biashara. Leseni hii...
2 Reactions
7 Replies
863 Views
Nipo katika wiki mbili za mapumziko,natumia mda huu katika kuchambua ripoti za makampuni yaliyopo DSE.. Karibuni tushirikiane kwa hili. Tunaweza fanya kwa kuunda group la WhatsApp au...
0 Reactions
3 Replies
253 Views
Wanabodi, Viwanda vya bidhaa ya Twyford Tanzania vyafanya makubwa ndani na nje ya Tanzania Viwanda vitatu vya bidhaa za Twyford vinavyofanya kazi chini ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd...
3 Reactions
18 Replies
603 Views
Habari mjasiriamali, Jana nilipost kuhusu beneficial ownership, nikasema kila mmiliki wa Kampuni ni lazima awasilishe taarifa za wanufaika wa Kampuni (Beneficial owners) ndani ya siku 30 baada ya...
2 Reactions
0 Replies
202 Views
BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
Wakuu nimenunua eneo la biashara mji X na lipo pembezoni mwa barabara nzuri tu, moja ya biashara nayotaka kufanya eneo hilo ni kuweka kibanda cha kisasa cha nyama ya kitimoto. Sasa najiuliza Je...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari mjasiriamali, kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unatarajia kufungua Kampuni haya ni mambo Matatu ambayo natamani uyajue mapema kuhusu Kampuni 1/3 Ni lazima ku file beneficial ownership...
4 Reactions
1 Replies
293 Views
PITCH YA KILIMO– MANTO FARMING SOLUTIONS(MARTIN MHINA Habari za wakati huu Ndugu,Jina langu naitwa Martin Mhina, mimi ni Bwana Shamba na mwanzilishi wa MANTO FARMING SOLUTIONS. Tunajishughulisha...
2 Reactions
11 Replies
384 Views
MAKOSA YA KODI YANAYOFANYWA NA BIASHARA NDOGO TANZANIA. Makosa ya kodi yanaweza kugharimu biashara yako faini na adhabu kali. Nchini Tanzania, makosa haya mara nyingi hutokana na kutoelewa sheria...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu zangu habarini za wakati huu. Naomba mwenye kujua taratibu za kufungua biashara yoyote ndogo-ndogo anifahamishe hataua kwa hafua kwa mjibu wa sheria.
3 Reactions
8 Replies
302 Views
Anonymous
Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara...
4 Reactions
6 Replies
263 Views
  • Redirect
3 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
kwakwel Rais wenu anatoa maboko siku had siku imefika hatua sisi tunaomsafisha tunashindwa had tumsubir ngirisho msemaj mkuu wa kisiwa atoe ufafanuz ndio nas tutoe madodoki yetu kumsafisha Kama...
0 Reactions
– Replies
– Views
Habari familia naomba kujua machimbo ya Shambani ya Viazi mviringo Bei zake Obama na Kadinya na Bei na Masoko ya mjini WAKUU
2 Reactions
5 Replies
786 Views
Anonymous (c723)
Wakuu, nipo kitandani nikiugua, lakini roho inaniuma kuona jinsi uwekezaji wangu unavyoliwa na 'mchwa' mchana kweupe. Mimi ni mwekezaji (CDS No: 811....), nimeuza hisa mara nne ili nipate pesa za...
6 Reactions
20 Replies
914 Views
Back
Top Bottom