RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 397
- 442
CRDB Bank Plc imetangaza rasmi gawio (dividend) kwa mwaka wa fedha ulioisha 31 Desemba 2025, na hii ni taarifa muhimu kwa wawekezaji wote wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
DIVIDEND DETAILS(TAARIFA ZA GAWIO)
- 💸Payment date (Malipo ya gawio kuanza): 1 June 2026
---
Growth Analysis (Ukuaji wa Gawio)
CRDB inaonyesha ukuaji mzuri wa gawio kwa miaka ya karibuni:
➡️ Hii ni ongezeko la takribani 38% kutoka 65 hadi 90 TZS, ishara kuwa benki inaendelea kufanya vizuri kifedha (strong earnings performance).
---
Important for Investors (Muhimu kwa Wawekezaji)
Kama unataka kupata gawio hili:
✔️ Lazima uwe umenunua hisa kabla ya 5 May 2026 (before ex-dividend date)
✔️ Jina lako liwe kwenye daftari la wanahisa ifikapo 7 May 2026 (record date)
Ukikosa hapo:
❌ Hutapata gawio hili hata kama utanunua baadae
---
📌 What Should You Do? (Hatua za Kuchukua)
1. Hakikisha taarifa zako ziko updated
(Bank account / Mobile money for dividend payment)
2. Usinunue kwa haraka bila uchambuzi
Bei ya hisa mara nyingi hushuka baada ya ex-dividend date
3. Think long-term (Fikiria muda mrefu)
Hii si hela ya haraka — ni uwekezaji wa kujenga kipato endelevu (passive income)
---
Final Insight (Ushauri wa Mwisho)
CRDB inaanza kujijenga kama dividend-paying stock yenye consistency ndani ya soko la Tanzania. Lakini uamuzi wa kununua ubaki kwenye:
---
Basically, CRDB Bank inabaki kuwa kampuni sahihi kwa wawekezaji wa muda mfupi pamoja na wale wa muda mrefu.
Nimechelewa kuileta hii taarifa huku, lakini pale kwenye channel y WhatsApp nilipost mapema sana, jiunge na Channel yetu ili kupata elimu na taarifa zaidi kuhusu uwekezaji na fedha👇Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
RMK,
Independent stock analyst,
WhatsApp:+255 737 450 640
Dar es Salaam.
Kama kawaida, fanya uchambuzi wako binafsi (do your own research).
Tujadili 👇
DIVIDEND DETAILS(TAARIFA ZA GAWIO)
- Dividend per share (Gawio kwa kila hisa): TZS 90
[*]Declaration date (Tarehe ya kutangaza): 14 April 2026
[*]Cum dividend period (Kipindi cha kununua ukiwa bado unastahili gawio): 14 April – 4 May 2026
[*]Ex-dividend date (Tarehe ya kukosa sifa ya gawio): 5 May 2026
[*]Record date / Closure of register (Tarehe ya kufunga daftari la wanahisa): 7 May 2026
- 💸Payment date (Malipo ya gawio kuanza): 1 June 2026
---
Growth Analysis (Ukuaji wa Gawio)
CRDB inaonyesha ukuaji mzuri wa gawio kwa miaka ya karibuni:
- 2022 → TZS 36
- 2023 → TZS 45
- 2024 → TZS 65
- 2025 → TZS 90
➡️ Hii ni ongezeko la takribani 38% kutoka 65 hadi 90 TZS, ishara kuwa benki inaendelea kufanya vizuri kifedha (strong earnings performance).
---
Important for Investors (Muhimu kwa Wawekezaji)
Kama unataka kupata gawio hili:
✔️ Lazima uwe umenunua hisa kabla ya 5 May 2026 (before ex-dividend date)
✔️ Jina lako liwe kwenye daftari la wanahisa ifikapo 7 May 2026 (record date)
Ukikosa hapo:
❌ Hutapata gawio hili hata kama utanunua baadae
---
📌 What Should You Do? (Hatua za Kuchukua)
1. Hakikisha taarifa zako ziko updated
(Bank account / Mobile money for dividend payment)
2. Usinunue kwa haraka bila uchambuzi
Bei ya hisa mara nyingi hushuka baada ya ex-dividend date
3. Think long-term (Fikiria muda mrefu)
Hii si hela ya haraka — ni uwekezaji wa kujenga kipato endelevu (passive income)
---
Final Insight (Ushauri wa Mwisho)
CRDB inaanza kujijenga kama dividend-paying stock yenye consistency ndani ya soko la Tanzania. Lakini uamuzi wa kununua ubaki kwenye:
- Bei ya sasa ya hisa (current market price)
- Dividend yield (uwiano wa gawio kwa bei)
- Mtazamo wako wa muda mrefu (investment horizon)