Huduma za UTT ni mbaya sana hivi sasa.
Watu hawawazi access funds zao wana kuwekeza kwa uaminifu sababu App haifanyi kazi na tukipiga simu tunaambiwa tutarejewa bila mrejesho.
Ssa sisi ni...
Habari Wana Jukwaa
Samahani Naomba Mawazo Yenu Mimi Ni Kijana Wa Miaka 30 Sasa Kiwango Changu Cha Elimu Ni Darasa La Tano Na Nina Cheti Cha Udereva Wa Awali
Nimejitahidi Kutafuta Kazi Ya Taaluma...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema wingi wa taasisi za udhibiti nchini unachangia usumbufu mkubwa katika biashara na kuathiri ukuaji wa sekta hiyo...
Ndugu Mjasiriamali,
Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA.
Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines.
Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
UTT n mfuko wa hisa
✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama...
Karibu sana wewe unayetaka kuipeleka biashara yako kwenye kiwango cha juu zaidi! 🚀
Kama una ndoto ya kuwa na website ya kisasa, yenye mvuto na inayouza kwa niaba yako masaa 24, basi huu ndio...
Habari ndugu zangu kwa mtu mwenye sehemu nzuri yenye mzunguko wa watu dar es salaam aniunganishe nataka nifungue juice point. Mjasiliamali mwenzenu nimejipigapiga nimekusanya ka'mtaji sasa...
Wadau wa fedha na uwekezaji,
Kuna kitu muhimu sana ambacho mara nyingi tunakisoma kwenye vitabu vya Rich Dad Poor Dad na vingine vya personal development, lakini wengi wetu hatuchukui hatua —...
NINI KIFANYIKE KUPUNGUZA MFUMUKO WA BEI YA MAFUTA NCHINI?
Na ;Revocatus James Ng'oja
Soma kwa utulivu huu ni Uchambuzi wa Kiuchumi, Kitakwimu na Sera Mbadala.
Ndugu Watanzania,Mafuta ya petroli...
Nimeona DSE wana mfumo wa kuuza na kununua hisa online. Huwa natamani sana kuingia kwenye huu uwekezaji maana naweza kuweka pesa zangu ndogondogo huko badala ya kuzitumia ovyoovyo. Siwezi kwenda...
Ndugu zangu watanzania wenzangu,kaka zangu,dada zangu,baba zangu na mama zangu.
Naombeni mnishauri aina ya biashara nayoweza kufanya na nikapata mafanikio ndani ya mda mfupi mfano ndani ya miaka...
Kuwa na leseni ya biashara ni hatua ya msingi kwa mjasiriamali yeyote anayetaka kuendesha biashara kwa uhalali. Leseni hii hutambulisha biashara yako kisheria, hukuwezesha kufanya kazi kwa kufuata...
Leo Meta hutumia zaidi jina Business Portfolio ndani ya Meta Business Suite, ingawa watu wengi bado husema Facebook Business Manager. Hicho ndicho kitu cha kwanza unachohitaji ili kusimamia Page...
Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.