Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks. WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO...
8 Reactions
965 Replies
472K Views
Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha. Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena. Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao...
2 Reactions
0 Replies
126 Views
Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu.
0 Reactions
0 Replies
127 Views
TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika. Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo...
0 Reactions
6 Replies
234 Views
Kama unaijua hoteli inayoitwa "New Hotel Aquiline Arusha" nipe mrejesho. Bei zao ni chee sana
5 Reactions
34 Replies
626 Views
Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya...
1 Reactions
3 Replies
272 Views
Wana JF, najua tuna wafanyabiashara wengi sana humu JF, leo natamani tujadili kwa kina matatizo yanayowakumba wafanyabiashara na wajasiriamali wengi sana nchini. Kwa upande wangu suala zima la...
1 Reactions
5 Replies
209 Views
Natafuta mdada au mkaka mwenye duka au biashara inayofanya kazi kwa angalau miezi 6 na biashara hiyo iwe na lesen halali. Nina nyumba ambayo niko tayari kuitumia kama dhamana kwa ajili ya...
4 Reactions
7 Replies
315 Views
Watu wengi wanaangalia bei ya kiwanja na location tu, lakini wanakosa kitu muhimu sana — majirani. 👉 Majirani wazuri = Amani, usalama na maisha ya furaha 👉 Majirani wabaya = Stress, kelele na...
6 Reactions
14 Replies
607 Views
Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara...
8 Reactions
10 Replies
459 Views
Hello Family JF Family members! It's been a while, kwa wale wanaonifahamu humu nimekuwa member toka 2023 nadhani, kipindi bado najitafuta mimi ni nani na hadi leo hii nipo katika hatua nzuri...
1 Reactions
8 Replies
217 Views
Habari mawinga wa kariakoo. Kuna wazo nimepata la, ecommerce ila kwa njia ya WhatsApp Business, ambapo mteja anatafuta bidhaa husika mfano pazia na kukutana na mawinga wa hiyo bidhaa, winga wenye...
4 Reactions
7 Replies
278 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Habar wakuu, Juzi hapa nimefungua Paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga. Je...
11 Reactions
92 Replies
15K Views
Kuna watu wanasema mtu asubiri hisa ishuke kwanza ndio anunue mfano kama hisa ya CRDB ikiwa 1500 mtu anasema ngoja ishuke tena iwe chini ya 1000 ndio anunue , swali la kujiuliza je isiposhuka tena...
4 Reactions
5 Replies
453 Views
✅ Tanga Cement (TCCL) – Faida ya 93% Hisa ya Tanga Cement iliongoza kwa ongezeko kubwa la thamani, ikipanda kwa asilimia 93 mwaka 2024. ✅ KCB Bank (KCB) – Faida ya 108.57% Hisa ya KCB Bank...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Guys, Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu...
4 Reactions
24 Replies
884 Views
https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163 ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania...
5 Reactions
86 Replies
2K Views
Back
Top Bottom