Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

I have been asking myself, why did we close our Petroleum refining company (TIPER) after seen this news from the daily news. Modern oil refinery for Dar es Salaam A FOUR-nation...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimewaza sana ndugu zangu imefika mahala nimeona niwashirikishe ili mnishauri Katika pitapita kujifunza maisha kuna sehemu jikakuta andiko Ukiwekeza 100k kila mwezi kwa miaka 15 katika mifuko ya...
0 Reactions
7 Replies
278 Views
  • Redirect
Kwa ambae ana kifaa au router yake ya Vodacom au universal akaribie inbox WhatsApp nimuunge hizi package kwa uharaka sana
0 Reactions
– Replies
– Views
MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI. Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya: 📌...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba ushauri.....kwa sasa mimi ni mwajiriwa ila niliwahi soma veta fani ICT . ila nataka kufungua ofis yangu ya ufundi computer, ufundi simu na kuuza accessories mbali mbali za mambo...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa hili. Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni. Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Rafki mpendwa Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua Twende pamoja...
1 Reactions
9 Replies
370 Views
Habari za leo. Katika maisha ya biashara Kuna Muda lazima ufanye mabadiliko . Sasa nimekuwa na mawazo hasa mabadiliko nayotaka kuyafanya kwenye biashara yangu. Ok Mimi ni muuzaji wa vifaa vya...
4 Reactions
2 Replies
254 Views
Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi , Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama Mining Ofice management office Spare Store Management Systerm Loan Ofice Managenent System POS...
2 Reactions
2 Replies
165 Views
Habari, Naomba kufahamu kama kuna taasisi, kampuni, au mtu binafsi anayetoa mikopo kwa kutumia nyumba kama dhamana (collateral) bila hitaji la kuwa na leseni ya biashara au ofisi. Nimejaribu...
3 Reactions
3 Replies
348 Views
Habari. Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau. Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie...
18 Reactions
103 Replies
16K Views
Biashara ya vipodozi ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi sana Tanzania kwa ujumla. Kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, ushawishi wa influencers, na uelewa wa self-care kumeongeza...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
(USIPUUZE HILI) Watu wengi wanafungua bucha… lakini wengi wao wanakosea hatua moja muhimu sana ambayo inawafanya wafungiwe ghafla au kutozwa faini kubwa. Biashara ya nyama sio tu kununua nyama na...
5 Reactions
5 Replies
546 Views
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Je, nikiwa nimekopa Mkopo katika Benki yoyote nchini Tanzania (NMB as case study) alafu kabla sijamaliza kulipa Mkopo huo, Nikafariki. Je, Mkopo huo bado utatakiwa kulipwa ? Kama ni ndio, je ni...
4 Reactions
24 Replies
613 Views
Simu yangu ilileta shida kidogo nikaenda kwa fundi simu kunibadilishia system charge yangu ya Google pixel akanipiga 25,000/= nikasema nianze kumuuliza maswali mengi jamaa hakua na hiyana, kwanza...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
nguvu ya fedha, na michezo ya umiliki wa makampuni Watu wengi wakisikia neno Corporate Raider wanafikiri ni wezi wa kampuni. Hapana. Hawa si majambazi wa bunduki — ni watu au taasisi zinazotumia...
3 Reactions
17 Replies
382 Views
Je, wewe ni mzalishaji wa bidhaa au unamiliki duka la jumla na unatafuta njia bora ya kuongeza wateja wa uhakika kwa bidhaa zako? Ninakuleta suluhisho thabiti! Ninajitokeza kama wakala wa masoko...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom