lorahshop
Member
- Oct 16, 2021
- 39
- 69
Leo nimepanda bolt bodaboda dah.. yule dereva kanifurahisha sanaa uwezi amini kaajiliwa kwenye compuni ya ulinzi akajichanga kanunua pikipiki sasa akiwa off anapiga mzigo mchana kutwa akiingia usiku anapiga mchana yaan ana masaa yake ya kupumzika na kupiga kazi
Akanambia bolt bodaboda inalipa ila uwe unatarget maeneo ya kutega akanambia dada watu wengi wanataka mafanikio lakini wavivu mda huo ilikuwa 11 jioni ana 40000 yake na bado siku haijaisha
Yeye anatega maranyingi maeneo ya pale Ngozi na mtava (qulity center) maeneo yale cargo zipo nyingi na kule mtu hawezi tembea lazima atumie usafiri ni Dar iyo
Kama umemaliza chuo afu kwenu apasomeki kama kwetu tafuta bodaboda uku unasikilizia insu zako usikae nyumbani kugombania vitafunwa na wadogo zako! Utanishukuru baadaye[emoji1488]