Nataka kuagiza bidhaa nje kupitia posta! Lakini kwa nini wanafungua mizigo?

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Nakumbuka Mwaka 2015 Ndio Ilikua Mwisho Wangu Wa Kununua Bidhaa Kutoka Ebay. Kipindi Hicho Nilikua Interested Na Electronics Hivyo Nilinunua Vifaa Hivyo.

Lakini Siku Vinafika Posta Naenda Kuvichukua Nikakuta Vimefunguliwa. Kwa Kweli Nilifikiria Sanaa Nikasema Nimevipata Kwa Sababu Vitu Kama Capacitors Wasingeweza Kuvielewa. Ila Najiuliza Ingekuaa Simu Wangeiacha Kweli?

Naomba Kufahamishwa Kwa Nini Wanafungua Mizigo Na Badala Ya Ku'Scan Kwenye Machine Zile

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilibahatika kununua saa kupitia ebay na sanduku la posta niliweka la chuo kikuu mlimani

Nilipata ile saa japo ili chelewa kwa zaidi ya mwezi naa ila mzigo hakufungulia

Embu anza kuliamini shirika lako la posta mkuu
 
Posta wanafungua vitu kwasababu pale posta kuna ofisi za TRA- Customs na ni utaratibu wa kawaida ofisi za TRA-Customs wanazifungua kuangalia kama hio bidhaa uliagiza inapaswa kulipiwa ushuru au hailipiwi hivyo hilo ni swala la kawaida mimi nilishanunuaga simu toka Greece na nikaipata napia ukiangalia kwenye tracking inakuonesha i.e mzigo umefika, umepelekwa customs etc unapotaka kufanya international trade unatakiwa kujua bidhaa ipi inalipiwa ushuru ipi hailipiwi ushuru..
 
ni bidhaa zipi zinatakiwa kulipiwa ushuru?
 
Mmmh hii itakua mpya, mwezi January nimetoka kuchukua mzigo wangu na haukua umefunguliwa. Siku zote uwa haufunguliwi,sasa sijui kwako inakuaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka Gani Mkuu?

Nilibahatika kununua saa kupitia ebay na sanduku la posta niliweka la chuo kikuu mlimani

Nilipata ile saa japo ili chelewa kwa zaidi ya mwezi naa ila mzigo hakufungulia

Embu anza kuliamini shirika lako la posta mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka Mwaka 2015 Ndio Ilikua Mwisho Wangu Wa Kununua Bidhaa Kutoka Ebay. Kipindi Hicho Nilikua Interested Na Electronics Hivyo Nilinunua Vifaa Hivyo.

Lakini Siku Vinafika Posta Naenda Kuvichukua Nikakuta Vimefunguliwa. Kwa Kweli Nilifikiria Sanaa Nikasema Nimevipata Kwa Sababu Vitu Kama Capacitors Wasingeweza Kuvielewa. Ila Najiuliza Ingekuaa Simu Wangeiacha Kweli?

Naomba Kufahamishwa Kwa Nini Wanafungua Mizigo Na Badala Ya Ku'Scan Kwenye Machine Zile

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu si mara zote wanafungua ni mara chache sana hasa kama wamehisi kuna information za mzigo haziko clear na nature ya mzigo.

Mimi haipiti wiki mbili nagiza mzigo hawafungui
IMG_20190301_160355.jpeg
IMG_20190228_151117.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Posta wanafungua vitu kwasababu pale posta kuna ofisi za TRA- Customs na ni utaratibu wa kawaida ofisi za TRA-Customs wanazifungua kuangalia kama hio bidhaa uliagiza inapaswa kulipiwa ushuru au hailipiwi hivyo hilo ni swala la kawaida mimi nilishanunuaga simu toka Greece na nikaipata napia ukiangalia kwenye tracking inakuonesha i.e mzigo umefika, umepelekwa customs etc unapotaka kufanya international trade unatakiwa kujua bidhaa ipi inalipiwa ushuru ipi hailipiwi ushuru..

Mbona Kikuu Ukiagizia Mzigo Haufunguliwi? Lakini Ukipitia Posta Wanafungua?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka Mwaka 2015 Ndio Ilikua Mwisho Wangu Wa Kununua Bidhaa Kutoka Ebay. Kipindi Hicho Nilikua Interested Na Electronics Hivyo Nilinunua Vifaa Hivyo.

Lakini Siku Vinafika Posta Naenda Kuvichukua Nikakuta Vimefunguliwa. Kwa Kweli Nilifikiria Sanaa Nikasema Nimevipata Kwa Sababu Vitu Kama Capacitors Wasingeweza Kuvielewa. Ila Najiuliza Ingekuaa Simu Wangeiacha Kweli?

Naomba Kufahamishwa Kwa Nini Wanafungua Mizigo Na Badala Ya Ku'Scan Kwenye Machine Zile

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuscan tu hakuonyeshi ni kitu gani kilichomo,ukiscan picha itaonyesha kuna kitu kwa mfano kuna unga wa soya ,lakini huo unga sio soya inabidi wafungue mfuko wachukue sampuli na wapime kujua kama huu ni unga wa soya au ni madawa ya kulevya.Hata mbwa anaweza akanusa mzigo lakini asitambue ni kitu gani kimo ndani ya mfuko kwa hiyo lazima mfuko ufunguliwe.
 
Un
Nakumbuka Mwaka 2015 Ndio Ilikua Mwisho Wangu Wa Kununua Bidhaa Kutoka Ebay. Kipindi Hicho Nilikua Interested Na Electronics Hivyo Nilinunua Vifaa Hivyo.

Lakini Siku Vinafika Posta Naenda Kuvichukua Nikakuta Vimefunguliwa. Kwa Kweli Nilifikiria Sanaa Nikasema Nimevipata Kwa Sababu Vitu Kama Capacitors Wasingeweza Kuvielewa. Ila Najiuliza Ingekuaa Simu Wangeiacha Kweli?

Naomba Kufahamishwa Kwa Nini Wanafungua Mizigo Na Badala Ya Ku'Scan Kwenye Machine Zile

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hangaika na posita unaacha DHL! shauri zako..
 
Mkuu hizi kauli sio za Kizalendo!!Ungeka kimya pia ingekuwa busara kuliko kuonesha hisia zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo ni kuyakalia kimya madhambi yenu?
Posta ni wezi, tena ni mijizi professional. Ripoti za mkaguzi mkuu wa serikali zinaonyesha kuwa magari yaliyokufa na yako grounded yalikuwa yakiandikiwa mafuta, spares etc wakati gari iko beyond repair. Sasa nani sio mzalendo, Mimi Bujibuji au hao wateule wa CCM ambao wamepewa jukumu la kusimamia shirika?
 
Back
Top Bottom