Na. Mwandishi Wetu
Uongozi wa Wanyabiashara Wadogo Wadogo maarufu kama Machinga wamekubaliana na uwamuzi wa serikali wa kuwapanga katika mfumo mpya na rafiki kwenye mikoa yote nchini...
Habari wana JF
Mimi ni kijana mtafutaji kama walivyo wengine wengi katika pita pita zangu nikaona fursa
Fursa yenyewe ni kuuza nafaka ambazo zimeshaongezwa thamani tayari
Ili kufanikisha hilo...
Jaribu Kufikiri,
Umehangaika kutafuta business opportunity kwa njia unayoifahamu wewe,ukatafuta mtaji,ukaajiri wafanyakazi ili mfanye kazi pamoja mjenge kampuni,mjenge maisha.Ila Kila mara...
Nafahamu kuna biashara ya vipodozi vya gharama kubwa, ya kati na vya chini.
Naombeni kujua je nikiwa na milion moja naweza kupata chimbo la vipodozi vile vya saizi ya kati? Yaani zile sabuni za...
Kwa mujibu wa jarida la Forbes mwaka 2021, utajiri wa Mabilionea kutoka bara hili uliongezeka kwa asilimia 12 zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hivyobasi tunaangazia vyanzo vya mali walionayo na...
Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha.
Mimi kama...
Kama ilivyo je wewe Ni mjasiriamali au unataka kufanya biashara iwe kubwa au ndogo.
Basi fanya haya najua Unaweza nishukuru.
Wajasiriamali au wafanyabiashara wengi hushindwa Katika Uchaguzi wa...
:):):):):):):)
Funny Facts!
Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10,
thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo...
Mimi nauza vitu mbalimbli ziko specific nilianza kuagiza agents wakibongo wanaoishi china now naagiza mwenyewe, nauza socks sana tu pea tano(20000) mara nyingi nauzia insta ila nikapenda kutangaza...
Kuna kila ISHARA kuwa magonjwa nyemelezi yatateuwa mkoa wa DODOMA kwa sababu ya shambulio la alshababu la SERIKALI KUHAMIA DODOMA... Ni vyema CCBRT MKASOGEZA huduma kwa wananchi...
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania,
Nikiwa nimetua Tanzania kutoka urusi, kumalizia mambo yangu ya propaganda za kichumi za hapa na pale! nkakutana na maoligarchy wenzangu flani wa...
Wakuu nataka kufanya hii biashara naombeni mwongozo vitu vya umuhimu vya kuangalia kabla ya kuanza hii biashara
Na vipi kuhusu malipo yake upande wa commission kila mweziii huwa wanalipajeee
Na...
Habari wakuu,
Nina mteja anahitaji kusafirishiwa mzigo kutoka bandarini(dar)kwenda nje ya nchi,kwa yoyote mwenye taarifa sahihi ya kampuni nzuri iliopo Dar aje PM tuwasiliane
NB it is urgently case.
Ndugu wa Tanzania wenzangu napenda mnipe maelezo nataka nifanye biashara ya Uber hapa DSM napenda kufahamu changamoto na hatua za kujiunga.
Kwa yeyote mtaalamu na mwenye uzoefu karibu unijuze...
Habari wanajukwaa...
Ni kampun gan bora inaweza kunitengenezea vifungashio.
Vifungashio navyo hitaji ni vile ambavyo vipo katika mifuko ya bahasha.ndani inakuwa miwili miwili kama ilivyo kwenye...
Habarini wakuu wa jukwaa.
Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK.
Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.