Naomba kuelewesha biashara ya miezi hii kuelekea kusini mwenye uelewa wakutoa vitu Dar kwenda kusini

Nenda sana na vitu vya kuvaa, (yeboyebo, ndala , viatu vya kike, vitatu vya shule chupi nk matumizi ya nyumbani kama vile (mafuta ya kujipaka ,dawa za meno,

Zingatia : Viwe vya bei nafuu na tembea minadani zaidi

Kwako Miss Massawe
 
Kanunue korosho then wiki ijayo minada ikianza upge pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom