Waowafahamu Agent was Plascon Na Goldstar

Libunda

Member
Joined
Sep 17, 2019
Posts
88
Reaction score
80
Mm in mfanya biashara wa kuchanganya rangi za magari na furniture..Nipi keko chang'ombe..Naomba kujua machimbo ya maagent wa goldstar na Plascon..Pia wale wenye ujuzi zaid yng ya utaalam wa rangi tupeane maujuzi..Maan biashara hii ni ubunifu..Karibuni tupeane maujuzi na changamoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka vipi ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom