Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Amin amin nakwambia.. 1. Restaurant ndogo ndogo zile nzuri 2. Vigenge genge vile vizuri vzuri unakuta mtu nyanya ana pack vizuri kwenye vifuko. Sasa mswahili hata awe na hela vipi ataacha hivyo...
16 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu, habari za wakati huu. Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k Naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu, kwa muda sasa toka Corona ianze nimekuwa nasafiri na kibaby walker changu popote ninapoenda and huwa nasafiri mikoa mbalimbali hapa TZ Bara na kila mkoa lazima nisimame kuweka...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wadau! Utani utani bitcoin sasa imefikia bei ya juu zaidi kuwahi kuonekana tokea imeanza mwaka 2009! Kwa sasa bitcoin moja ni USD 66,000 sawa na TZS 153 milion! Najaribu kuwaza kama mtu...
6 Reactions
79 Replies
8K Views
Habari za mchana ndugu wana JF Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku. Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku. Naomba Ushauri wenu tafadhali.
8 Reactions
139 Replies
20K Views
Wadau za jioni, Mimi ni kijana mwenye miaka 32, niko Kijijini. Nimemake kiasi cha Tsh. milioni 1 nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki huku huku kijijini ila sijui kama fedha hizo zitatosha...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari za muda huu wapendwa, hope mko poa kabisa. Guys nina 3m nawaza nifanye biashara gani tho professional yangu ni photography ila naona kama hii pesa 3M ni haitoshi kwa mtaji wa studio nadhan...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Nafikiri kuhanzisha hospital ya dawa za asili Yaani kutibu kwa dawa za asili. Maana Kuna magonjwa mengi Ambayo yanashindikana kutibiwa hospitali kabisa na wanawaza kabisa kukupa dawa Lakini...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa la biashara, Leo nahitaji kufahamu bei ya Silver na Gold kwa maduka ya Dar na ni duka gani zuri kwaajili ya kuuza au kununua bidhaa hizo kama vile cheni, pete n.k Asante
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Wana bodi mimi ni mgeni katika sawala madini kuna Mzee wangu ameniomba nimuulizie haya ni madini aina gani na thamani yake kama kuna mjuzi atujuze.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kesho nataka kwenda Ilala wanapopoint mitumba asubuhi, naomba kuelekezwa ni Ilala ya boma au hii ya amana hospital, natokea Gongo la mboto. Asanteni [emoji122]
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeona katika data za bank ya dunia kwenye Google kwamba GDP ya Tanzania kwa 2020 Ni dollar 62.41 billion..sikuzingatia Sana shuleni mambo ya accountant na finance au pengine nimesahau maana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Wakubwa shikamoo, wadogo zangu marahaba, wale wa rika langu good morning. Nimejifunza sana kuhusu pesa za kidijitali, hivyo nimeona sasa ndio wakati wa kuanza rasmi...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina kiwanja nataka kuchukulia mkopo kwenye benki, lakini kiwanja hiki hakijapimwa. kilichopo ni zile documents tulizoandikishiana kwa balozi. sasa nilikuwa nauliza kama naweza pata mkopo kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi? Naomba kupewa namna mbali mbali niweze kufikisha mzigo (simu) rwanda. Leo hii Ahsante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hope mko poa. Je ushindani kwenye bihashara ni mzuri au mbaya. Zipi faida za kuwa na mshindani kwenye bihashara yako Na zipi hasara zake za competition kwenye bihashara. Mfano una duka anakuja...
1 Reactions
4 Replies
871 Views
Back
Top Bottom