Ninafikiria kufungua hospital ya dawa za asili

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,662
4,330
Nafikiri kuhanzisha hospital ya dawa za asili Yaani kutibu kwa dawa za asili.

Maana Kuna magonjwa mengi Ambayo yanashindikana kutibiwa hospitali kabisa na wanawaza kabisa kukupa dawa Lakini ukakuta ni ya kupunguza kabisa ugonjwa.

Na mengine yanatibika kabisa hospitali Lakini garama yake ni kubwa kabisa. Ila ukiyatibu Ki asili kabisa yanaponeka

Sasa Kuna waganga wengine wa asili ni matapeli kabisa wengine mbele ya kukutibu Wana kuomba pesa ambazo sitakufilisi kabisa au ambazo utoweza kulipa.

Sasa mimi Nina fikiri kuomba serekali kibali kabisa cha kufunguwa hospital ya dawa za asili kabisa na tuta kuwa tuna tumia na system zingine Kama kupima ugonjwa Maana tuta ajiri waganga kabisa.

Au una enda kupimwa hospital na kutibiwa uko ikishindikana na sisi wa tiba za asili tuna jaribu bahati yetu

Sasa ndugu zangu mnanishauri nini juu ya jambo ili je ni sahii au
 
Ungeeleza ni magonjwa gani unayoweza kuyatibu kwa uhakika kuliko kuongea kwa ujumla. Paragraph ya pili kutokea mwisho imeharibu uzi wako, eti magonjwa wakishindikana hospital na nyie mjaribu BAHATI YENU, utaratibu wa kuneemeka kwenye magonjwa ya watu siyo mzuri.
 
Kama jana nikakutana na masai akaniambia unataka dawa ya wadanga nilimpa bongee la sonyo kutoka mbangara rangi tatu to chalinze
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom