Soko la pesa za kidijitali

Soko la pesa za kidijitali

Habari za wakati huu,wakubwa shikamoo,wadogo zangu marahaba,wale wa rika langu good morning.
Nimejifunza sana kuhusu pesa za kidijitali,hivyo nimeona sasa ndio wakati wa kuanza rasmi uwekezaji,lakini sijui soko lake nalipataje.
Kama hujui soko lake bado ujajifunza rudi tena kachimbe upya
 
Back
Top Bottom