Mswahili hapendi mbwembwe nyingi kwenye biashara

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Amin amin nakwambia..
1. Restaurant ndogo ndogo zile nzuri
2. Vigenge genge vile vizuri vzuri unakuta mtu nyanya ana pack vizuri kwenye vifuko. Sasa mswahili hata awe na hela vipi ataacha hivyo anaenda vile vinavyopangwa chini
3. Hata maduka ya rejareja na jumla yale mazuri sana yenye mbwembwe mswahili haendi hata awe na hela vp
4. Vibanda vya chips ndo kabisa, ukijifanya unaremba sana inakula kwako

Mfano mdogo tu huku kwetu Mbezi watu wako hivyo nishachunguza sana na siyo Mbezi tu hata Mbweni Bunju etc..Bahari Beach yaani kipande cha huku watu wako hivyo na naambiwa hiyo ndo desturi ya mswahili hata akae Masaki.

Ndiyo maana kumbe namkutaga mkurugenzi wa radio pendwa sana sometime maeneo ambayo hutarajii. Siyo yeye tu watu wazito nakutana nao sana soko la samaki kule wanahangaika nao mtu mzito mkurugenz kabisa nikasema ok....

Na matajiri wanaofanya vizuri kwenye biashara washalisoma hilo ndiyo maana product zao zimekaa kiajabu ajabu hawana mbwembwe utauziwa unga wa azam kwenye jifuko la kawaida tu, huo mfano tu

Ushauri wangu: Anzia sokoni ujue wateja wanataka nini siyo unakurupuka tuu na exposure zako.
 
Naunga mkono hoja.
 
Mswahili anataka kitu cha 3000 umuanzie 15000 ili msumbuane panda shuka mpaka ifike hiyo bei halisia.
Basi apo anaona amekupiga kutoka 15000 mpaka 3000 kumbe umempiga yeye..
 
Hata nyumba nyingi ambazo zilikua zinafanya biashara ya Bar zikifanyiwa mabadiliko tiles na meza nyingine nzuri nzuri watu hawaingii tena kama mwanzo, Hii nahisi ni asili watu hawajazoea mazingira mapya.
 
Engineer naona sasa umeiva sana na game ya mtaa.
Ofisin wananambia nikaongeze gamba...nmewambia bachelor inanitosha..sasa hiv natafta pesa tu .niko kwenye elimu ya mtaani sasa .maana elim ya darasan haijanisaidia kihivyoooo.
 
Bidhaa zilizowekwa shagarabagala unaruhusiwa kuzishika shika,kuomba kubadilishiwa kama mbovu,utapatiwa na nyongeza!!pia tunaamini bidhaa hizo zinauzwa bei chee,tofauti na zilizowekwa kistaarabu
 
Zaidi, ukweli uko hivyo, bei zinatofautiana sana. Ukiingia ki-min supermarket wanauza Tanga fresh 1ltr sh 3900 mpaka 4200, ukienda kwa mangi 3500.

Lakini pia tuwe realistic kidogo, ni mswahili yupi wa kuhifadhi kuku kwenye friza kwa mwezi mzima ili auze? Sasa hao wa kugandishwa ndo unawakuta huko ila sie uswahilini, unapitia kwa mkaangaji kabisa.

Siku moja nikapishana na mdada tunayeishi nae kitaa maeneo ya M/city, amebeba kifuko kina viazi vitamu, ametoka kununua/kununuliwa hapo mall, anaenda zake kusubiri daladala.
 
Kabisa wengi wanaogopa bei, pia wale waliojibrand au kuongeza thamani ya bidhaa au huduma zao huwa hawana kauli ya biashara au customer care amna option ya kufanya window shopping afu usinunue, unaeza tapikwa walivo na dharau.
 
Amin amin nakwambia..
1. Restaurant ndogo ndogo zile nzuri
2. Vigenge genge vile vizuri vzuri unakuta mtu nyanya ana pack vizuri kwenye vifuko. Sasa mswahili hata awe na hela vipi ataacha hivyo anaenda vile vinavyopangwa chini
3. Hata maduka ya rejareja na jumla yale mazuri sana yenye mbwembwe mswahili haendi hata awe na hela vp
4. Vibanda vya chips ndo kabisa, ukijifanya unaremba sana inakula kwako

Mfano mdogo tu huku kwetu Mbezi watu wako hivyo nishachunguza sana na siyo Mbezi tu hata Mbweni Bunju etc..Bahari Beach yaani kipande cha huku watu wako hivyo na naambiwa hiyo ndo desturi ya mswahili hata akae Masaki.

Ndiyo maana kumbe namkutaga mkurugenzi wa radio pendwa sana sometime maeneo ambayo hutarajii. Siyo yeye tu watu wazito nakutana nao sana soko la samaki kule wanahangaika nao mtu mzito mkurugenz kabisa nikasema ok....

Na matajiri wanaofanya vizuri kwenye biashara washalisoma hilo ndiyo maana product zao zimekaa kiajabu ajabu hawana mbwembwe utauziwa unga wa azam kwenye jifuko la kawaida tu, huo mfano tu

Ushauri wangu: Anzia sokoni ujue wateja wanataka nini siyo unakurupuka tuu na exposure zako.
Mkuu,ulichoandika hapa ni mtazamo ambao unaweza kuwa kweli ila ukweli ni huu.WATANZANIA wengi wana LOW SELF ESTEEM na hivyo wanakuwa na fikra kwama GOOD things are not meant for them.HILO sio swala la kujivunia ni swala la kulifanyia kazi kwani kuna kizazi itafika tutajikuta kama taifa tunapoteza fursa.

TATIZO NI LOW SELF ESTEEM Na SIO KUTOKUPENDA MBWEMBWE
 
True True
 
Mimi binafsi napendaga vitu fulani nilivyolelewa navyo mfano ,pilau lile la kiswahili haswa sasa unaenda kwenye mgahawa unakuta pilau ni kama wali umekorogwa na mchuzi,
au unaenda sehemu unakuta wameweka hii michele wanayoisifia kuwa ni basmat yaani naonaga kama hauna virutubisho huwa sirudi tena.
ila kuna mazoea ni magumu kuyaacha.
 
Sehemu kama hizi
cf50296f39f2e0d470ca0e6dec15a542.jpg
 
Back
Top Bottom