Nina kiwanja nataka kuchukulia mkopo benki

elvis richard

Senior Member
Dec 6, 2014
195
205
Nina kiwanja nataka kuchukulia mkopo kwenye benki, lakini kiwanja hiki hakijapimwa. kilichopo ni zile documents tulizoandikishiana kwa balozi.

sasa nilikuwa nauliza kama naweza pata mkopo kwa kiwanja hicho ili niweze kuanzisha biashara.

Msaada wenu..
 
Enda benki usikie wanasemaje juu ya hili suala
 
Kiwanja kiwe na hati,pia kiwanja kiwe kimeendelezwa. Hayo ndio maelekezo ya benk zote nchiniiii.ila kwa kuwa wew NI mtanzania, lakini mchina Anamika na begi lake tu, anaonekana ndio mwekezajiii, hivyo bila kiwanja wala hati anapewa Tu mkopooo....
 
Uza hiyo plot ifanye mambo yako bank utakuja kujuta mkuu mambo yatakavyokuendea mrama

Bank ukikopa 20ml. Jua utarudisha 38ml
 
Kiwanja kiwe na hati,pia kiwanja kiwe kimeendelezwa. Hayo ndio maelekezo ya benk zote nchiniiii.ila kwa kuwa wew NI mtanzania, lakini mchina Anamika na begi lake tu, anaonekana ndio mwekezajiii, hivyo bila kiwanja wala hati anapewa Tu mkopooo....
shukrani mkuu
 
Kiwanja bila hati na kukiendeleza mkopo itausikia songesha na tigo niwezeshe tu mkuu. Fikiria unakiwanja chenye thamani ya 2Ml halafu unaenda bank unachukua 2ml halafu unajikataa bank inakuwa imekula kwao.
 
Back
Top Bottom