Bei ya Bitcoin sasa imefika dola 66,000 (TZS 153 mil +)

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,261
34,220
Habari wadau!

Utani utani bitcoin sasa imefikia bei ya juu zaidi kuwahi kuonekana tokea imeanza mwaka 2009!

Kwa sasa bitcoin moja ni USD 66,000 sawa na TZS 153 milion!

Najaribu kuwaza kama mtu alinunua walau Bitcoin 20 tu kipindi imeanza au miaka ya 2010 mpaka 2013 leo atakuaje?

Mfano mtu aliyenunua hisa za 1mil za CRDB au NMB au kampuni yeyote hapa Tz miaka ya 2010 mpaka 2014 hiyo pesa angenunua bitcoin au etherium leo angekua wapi?

Dunia inaenda kasi sana!
 
Nilikua naangalia hapa

Screenshot_20211020-182020.png
 
Hu nao ukichaa kama mwingine,Pesa ifanye kazi yake ya ku exchange good and services.Hizi speculations kwenye fedha ni ukichaa (easy money),yani Pesa haitengenezi value yoyote.

Trust me! Great economic depression inayofuata itatokana na haya makitu
 
Akili nyingi huondoa ...
Mimi nilinunua Bitcoin za 500k kitambo kidogo. Baada ya muda ikapanda mpaka nikawa na equivalent ya 1.2m hivi. Nikauza za laki 7.
Nimefanya kamchezo haka mara tatu sasa. Kwa hiyo kiukweli pesa niliyokua nayo Bitcoin ni faida niliyoipata hukohuko, ikizama siumii sana
 
Bitcoin ni pesa na inafanya kazi ya exchange bila shida.

Natarajia hili utakua unalijua unless you are living under the rock!
 
Akili nyingi huondoa ...
Mimi nilinunua Bitcoin za 500k kitambo kidogo. Baada ya muda ikapanda mpaka nikawa na equivalent ya 1.2m hivi. Nikauza za laki 7.
Nimefanya kamchezo haka mara tatu sasa. Kwa hiyo kiukweli pesa niliyokua nayo Bitcoin ni faida niliyoipata hukohuko, ikizama siumii sana
Ungezi hold leo ungekua unatafutwa na ccm ufadhili kampeni zao wakati wa uchaguzi
 
Akili nyingi huondoa ...
Mimi nilinunua Bitcoin za 500k kitambo kidogo. Baada ya muda ikapanda mpaka nikawa na equivalent ya 1.2m hivi. Nikauza za laki 7.
Nimefanya kamchezo haka mara tatu sasa. Kwa hiyo kiukweli pesa niliyokua nayo Bitcoin ni faida niliyoipata hukohuko, ikizama siumii sana
Muache aendelee kulima viazi huyo.....
wote hatuwezi fanya jambo moja
 
Habari wadau!

Utani utani bitcoin sasa imefikia bei ya juu zaidi kuwahi kuonekana tokea imeanza mwaka 2009!

Kwa sasa bitcoin moja ni USD 66,000 sawa na TZS 153 milion!

Najaribu kuwaza kama mtu alinunua walau Bitcoin 20 tu kipindi imeanza au miaka ya 2010 mpaka 2013 leo atakuaje?

Mfano mtu aliyenunua hisa za 1mil za CRDB au NMB au kampuni yeyote hapa Tz miaka ya 2010 mpaka 2014 hiyo pesa angenunua bitcoin au etherium leo angekua wapi?

Dunia inaenda kasi sana!
Unfortunately hua siziamini hizi deals
 
Back
Top Bottom