Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nimekuja kuomba ushauri kwenu nina mtaji wa milioni nne naweza kufanya biashara gani Dodoma. Nina ujuzi wa computer na uzoefu katika kutengeneza computer hadi chip level, kutengeneza simu...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta mtu mwenye mtaji wa kuanzisha bekery arusha, soko lipo, demand kubwa ila mtaji ni changamoto. Mawasiliano;0677603842. Naombeni tafadhari!, Asanteh.
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Kitabu changu cha mwisho kusoma mwaka 2021 ni THE RICHEST MAN IN BABYLON. Ukizungumzia kati ya dola kubwa za kale babeli ni moja wapo kati ya hizo ambazo zitakuwa kwenye list. Hivyo muandishi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta mtu mwwnye mtaji wa kuanzisha bekery Arusha, soko lipo, demand kubwa ila mtaji ni changamoto. Mawasiliano; 0677603842.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya mataifa ya kicomunist sijawahi kujua mpaka sasa yana faida gani mimi naona hata apa Africa hayana interest yoyote hata Putin tu kutia mguu Africa tokea aingie madarakani sijawahi muona kuna...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
2025 karbu na Msoma kumbe[emoji1696][emoji468][emoji1696][emoji468][emoji1696][emoji468] Basi papi Mtu unakuwa huru Kama utaweza kwenda mbio,mbio za hivi,Ustaarabu,Ustaraabu.Ni Wapi wako Bora Zaidi.
1 Reactions
110 Replies
27K Views
Habari za wakati na poleni na mihangahiko. Naulizia Nguo za mtumba za watoto kwa anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, samahani nauliza kwa anayefahamu mashine ya kutengeneza vitabu kama petty cash, receipt book, oder book, invoice book, vitabu. Naombeni kufahamu gharama ya hiyo mashine na wapi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu Wadau. Poleni na mihangaiko ya kila siku ya utafutaji riziki Nimekuja jamviin kuwaomba ushauri Mimi nina uwezo mkubwa sana wa kucheza mchezo wa Drafti. Lengo langu nataka nibadilishe...
1 Reactions
66 Replies
12K Views
Hapo kijijini kwako ni bidhaa gani iko bei ya chini na inapatikana kwa wingi? Mfano:- Kuku Mayai Maharage Mahindi Viazi Vitunguu Mchele Pumba za mahindi Mbuzi Ng'ombe Kondoo Kitimoto Bata Ngano...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ngoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya Ukraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Msaada wakuu nimemaliza chuo naishi mbeya mjini Biashara gani naweza kufanya kwa 1mil
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nataka kufungua mradi wa kuuza simenti aina ya dangote mkoa wa pwani. Kwa wazoefu, naomba kujua Bei ya simenti kiwandan kwa Sasa ikoje, gharama za usafiri au kama kiwanda kinasafirisha mzigo kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa...
1 Reactions
5 Replies
21K Views
Nina idea ya hiyo biashara soko lipo Ila mtaji changamoto mwenye uhitaji mawasiliano 0677603842
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kujua ni biashara gani zinaenda sana? Je biashara ya mashatii na blauzi za kike inaenda? Bei za vyakula na gesti zikojee? Naomba kuwasilishaaa
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za mida wakuu! Kwenye side hustle yangu hapa mjini leo wamekuja ma afisa biashara kutoka kituo cha mapato manispaa, walitaka kuona leseni ya biashara sasa mimi sikuwepo kuna chalii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa tunaotokea nje ya dar es salaam Kwa yeyote aliyewahi kununua bidhaa Kwa Hawa jamaa na ikamfikia bila changamoto tujuzane. Kuna bidhaa nimeiona nataka ninunue na wanasema wanaagiza Hadi mikoani...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Just imagine muuzaji wa karanga kila anapopita lazima awaonjeshe kwanza mpate testa ndo mnunue au msinunue. Sasa nikajiuliza wauzaji hawali hasara kweli kuonjesha watu mji mzima hata Kama wapo...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…