Fursa kwa walioko kijijini

Fursa kwa walioko kijijini

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,598
Reaction score
65,049
Hapo kijijini kwako ni bidhaa gani iko bei ya chini na inapatikana kwa wingi? Mfano:-
  • Kuku
  • Mayai
  • Maharage
  • Mahindi
  • Viazi
  • Vitunguu
  • Mchele
  • Pumba za mahindi
  • Mbuzi
  • Ng'ombe
  • Kondoo
  • Kitimoto
  • Bata
  • Ngano
  • Nyanya
  • Dengu
  • Ufuta n.k
Hii inaweza kuwa fursa kwa wale wanaofanya kazi katika mazingira ya vijijini mfano; walimu, manesi, watendaji n.k
 
Mahindi, maharage, nyanya chungu,parachichi, mayai ya kienyeji,vitunguu, karoti, niagize unataka nini, nipo Kigoma
 
Weka bei mkuu ili tutathmini hali ya soko
Maharage huku yanauzwa kwa bakuli (kilo moja na nusu) =1800Tsh
Mahindi bakuri =800Tsh
Vitunguu Fungu 1= 1000Tsh lenye vitungu vikubwa 12, Vidogo 17
nyanya chungu beseni 1=5000 au 8000Tsh
kaloti beseni 1= 6000.
mayai , yai moja 400Tsh so 400 X Trei moja utapata jibu
 
Bei hizo sio rafiki sana kwa mtu anayetaka kufanya biashara. Wengi tunaamini, vijijini bei za vitu huwa viko chini kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogo
 
Hayo ni mawazo ya kizamani vijijini sasahivi wote ni wasomi na niwaelewa wanafuatilia bei za soko ukizingatia nao wanavismati foni wanapata taarifa kuhusu putin na ukraine kama ambavyo huku mujini kila kitu mnasingizia putin kupanda kwa bei ya vitu
 
Kwa mfano, ukiingia kijijini ndani ndani na ukaweka kijiwe cha kununua mitetea ile mikubwa kwa 5000; ununuzi hautafanikiwa?
 
Bei hizo sio rafiki sana kwa mtu anayetaka kufanya biashara. Wengi tunaamini, vijijini bei za vitu huwa viko chini kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogo
Yaani 1200 kilo ya maharage unasema sio rafiki?
 
Back
Top Bottom