Ngano kilo 2000, mafuta kipimo 800

Ngano kilo 2000, mafuta kipimo 800

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Ngoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya Ukraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia mama yetu wakati hausiki
 
Ngoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya uraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia mama yetu wakati hausiki
Jamaa Ukraine na Urusi ni wazalishaji wakubwa wa ngano halafu ni cheap, kwahiyo lazima watu waumie
 
Ngoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya uraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia mama yetu wakati hausiki
Huko nyumbani bado mnatumia vile vidude vya kutu kupimiwa mafuta?
 
Wapiga domo wasije kuja kulia lia tu
Kwa maisha yetu haya ngano ni inshu ndogo sana kupanda bei, kwa waarabu huko sawa!! Karibia mwaka wa pili sasa vitu vingi tena vya muhimu zaidi vimepanda bei na hakuna tamko lolote la serikali lilitolewa, juzi inaibuka vita hiyo ndio wanaifanya chaka la kujifichia? Hayo mafuta ya kula toka mwishoni mwa 2019, ndipo yalianza kupanda bei!!
 
Ngoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya Ukraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia mama yetu wakati hausiki
Tanzania yetu chakula ni ugali na wali!!

Ngano ni anasa tu!!
 
Back
Top Bottom