Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka?
Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na...
Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu, dada zangu, na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu.
Niulize chochote kuhusu hii biashara...
Wakuu habari mimi kitaaluma ni mwalimu masomo ya sayansi (hesabu).
Sasa naona njia nzuri kuweza kujikwamua ni kuwa na centre tuition, naomba mrejesho location nzuri.
Niko Dar
Hello Naomba Kuuliza Kwenu watu wa Serikalini na Viongozi wa Tancet be kama mpo humu. Mje Tuelekezane Kuhusu huu Mradi umefikia hatua GANI.?
Lakini pia inaonekana kama watu hawana taarifa vile?!
Kutoka dola 7400 hadi 6950,bei ya Btc kushuka ndani ya dakika mbili,hivyo imepelekea soko la cryptocurrency kwa ujumla kushamiri rangi nyekundu(shuka bei),bitcoin imeshuka kwa kiwango cha...
SWALI LA KWANZA
UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.??
Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza...
Wakuu, miaka 6 hadi 5 familia yangu enzi za uhai wa mzazi wetu tulikuwa na biashara Mkoani Mtwara, mtaji ulikuwa annual turnover around 0.78 billion. Baadaye tuligawagana mirathi na kila mmoja...
Habari za wikiendi mabibi na mabwana,
Naamini mnaendelea vizuri na Mungu anawalinda katika kila jambo jema mnalolifanya, pia harakati za maisha yetu naamini pia bado tunaendelea kupambana kwa...
Msaada jamani, hivi kati ya Kahama na Geita ni sehemu gani nzuri yakuwekeza biashara kwa mtaji wa 2m maana nimefika hapa Buzuruga nina option mbili tu nichague sehemu moja.
Tafadhali msaada wa...
Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye anaweza kunisaidia niweze kupata maji ya hill litre moja maana kwa huku maeneo ya Mbezi mwisho yamekuwa adim Sana pia na Soda za Pepsi.
Kipindi cha nyuma hapa...
Kwanza kabisa, mapambano yaendelee siku ya kufanikiwa ipo tu, tusikate tamaa.
Mfano huu utajumuisha Biashara nyingi Sana, kwa hiyo wewe mwenyewe utakuwa unalinganisha na Biashara yako.
Naomba...
Allef Vinicius
Do you want to have a better financial life? Of course, you are; I assume that is why you are reading this. But the point is, if you are reading this, you have seen the title of...
Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani.
Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na...
Unakuta vijana wengi pesa wanazopata huishia kununua vitu vya luxury ambavyo ni liabilities na sio asset!
Ukiona unamtazamo huo basi hayo mawazo huleta umasikini. Vitu kama magari na huna kipato...
Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa Tanzania tutafute mafuta Yetu.
Kufuatia Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi bei ya mafuta imepanda na kuvuka dola mia moja kwa mara ya kwanza tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.