Mbilikimo Mfupi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2015
- 985
- 1,241
Nataka kufungua mradi wa kuuza simenti aina ya dangote mkoa wa pwani.
Kwa wazoefu, naomba kujua Bei ya simenti kiwandan kwa Sasa ikoje, gharama za usafiri au kama kiwanda kinasafirisha mzigo kwa gharama zao
Natanguliza shukuran