Sijawahi kujua Urussi ina faida gani kwa Africa

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,146
11,193
Haya mataifa ya kicomunist sijawahi kujua mpaka sasa yana faida gani mimi naona hata apa Africa hayana interest yoyote hata Putin tu kutia mguu Africa tokea aingie madarakani sijawahi muona

kuna watu hapa wanamsifia mrusi ila miili yao imejaa alama ya chanjo za bure za wazungu tokea wamezaliwa

watu wanamsifia mrusi ila wakati wa kulala wanameza dozi kwa msaada wa watu wa marekani nilitegemea kuonyesha mfano wangesusa wapambane na misaada kutoka urusi

nilitegemea pia hata mifumo ya mawasiliano tungeusa mfumo wa android na iOS za wamarekani tumgeukie mrusi hii ndio inaitwa unamsifia mrusi mchana usiku unaenda kula na kulala kwa mmarekani

wazungu wamewekeza sana Africa na wengine ni wanufaika wa ajira kwenye makampuni yao ila mrusi hata hapa tz sijui ana makampuni mangapi

viongozi wa africa shida zikitokea mabakuli ni nchi za mangaribi ila urusi sijawahi jua anafaida gani ulimwenguni
 
Mkuu mpaka sasahv kama bdo hujaona faida nenda dukani kaulize ndoo ya mafuta sh ngap
 
Viongozi wa africa shida zikitokea mabakuli ni nchi za mangaribi ila urusi sijawahi jua anafaida gani ulimwenguni
Hasi na chanya...zinakamilishana. Bila giza, tusingeujua mchana...

Faida mojawapo ya Mrusi ni kwamba yeye yuko pale kubalansi shobo za Mmarekani - tangu kwenye vita baridi huko mpaka leo. Katikati hapa Urusi iliyumba na Mmarekani alitamba sana - akinyanyasa na kuvamia nchi zingine bila utaratibu. Sasa Mrusi anaamka na kidogo unaona angalau kuna kaheshima kidogo. Hata kule Syria Mrusi alisimama na ubabe wa Marekani ukakwama.

Urusi imara ni faida kwa wote ulimwenguni. Hasi na chanya - ulimwengu uliokamilika!
 
Haya mataifa ya kicomunist sijawahi kujua mpaka sasa yana faida gani mimi naona hata apa Africa hayana interest yoyote hata Putin tu kutia mguu Africa tokea aingie madarakani sijawahi muona

kuna watu hapa wanamsifia mrusi ila miili yao imejaa alama ya chanjo za bure za wazungu tokea wamezaliwa

watu wanamsifia mrusi ila wakati wa kulala wanameza dozi kwa msaada wa watu wa marekani nilitegemea kuonyesha mfano wangesusa wapambane na misaada kutoka urusi

nilitegemea pia hata mifumo ya mawasiliano tungeusa mfumo wa android na iOS za wamarekani tumgeukie mrusi hii ndio inaitwa unamsifia mrusi mchana usiku unaenda kula na kulala kwa mmarekani

wazungu wamewekeza sana Africa na wengine ni wanufaika wa ajira kwenye makampuni yao ila mrusi hata hapa tz sijui ana makampuni mangapi

viongozi wa africa shida zikitokea mabakuli ni nchi za mangaribi ila urusi sijawahi jua anafaida gani ulimwenguni
Mkuu Muafrika ni Mtu wa ajabu sanaaa
 
wewe Mwafrika una faida gani kwa Mrusi ? Mrusi ana deni gani na wewe? Umewahi kumsaidia nini Mrusi ?

acha kutegemea mahusiano ya kupewa handouts tu, wewe dependent deadweight
 
Tafuteni hela siasa hazitawasaidia chochote Kama hampo kwenye mfumo

Anyway Urusi Kuna misitu mikubwa sana upepo ukivuma Africa bendera zetu zinashangilia
 
Kwa hiyo mafuta anayopikia Ubwabwa Mama yako yanatoka Urusi???
Ukiona mada huielewi elewi pita kimyakimya,au tulia usome michango uambilie chochote!
Kama vipi sinlazima uchangie .Inaishia kujifunua bila sababu !
 
Haya mataifa ya kicomunist sijawahi kujua mpaka sasa yana faida gani mimi naona hata apa Africa hayana interest yoyote hata Putin tu kutia mguu Africa tokea aingie madarakani sijawahi muona

kuna watu hapa wanamsifia mrusi ila miili yao imejaa alama ya chanjo za bure za wazungu tokea wamezaliwa

watu wanamsifia mrusi ila wakati wa kulala wanameza dozi kwa msaada wa watu wa marekani nilitegemea kuonyesha mfano wangesusa wapambane na misaada kutoka urusi

nilitegemea pia hata mifumo ya mawasiliano tungeusa mfumo wa android na iOS za wamarekani tumgeukie mrusi hii ndio inaitwa unamsifia mrusi mchana usiku unaenda kula na kulala kwa mmarekani

wazungu wamewekeza sana Africa na wengine ni wanufaika wa ajira kwenye makampuni yao ila mrusi hata hapa tz sijui ana makampuni mangapi

viongozi wa africa shida zikitokea mabakuli ni nchi za mangaribi ila urusi sijawahi jua anafaida gani ulimwenguni
Usipojua faida ya urusi kwa Africa....Basi omba usijue hasara za America na washirika wake juu ya Africa
 
Wakati wa kudai Uhuru miaka ya 50-70 huko ulizia baby zako wakuambie umuhimu kwa afrika. Unajua hela ambazo urusi inazidai afrika mpaka leo hawajawahi lipwa mzee kweli. Bryatii!!
 
Haya mataifa ya kicomunist sijawahi kujua mpaka sasa yana faida gani mimi naona hata apa Africa hayana interest yoyote hata Putin tu kutia mguu Africa tokea aingie madarakani sijawahi muona

kuna watu hapa wanamsifia mrusi ila miili yao imejaa alama ya chanjo za bure za wazungu tokea wamezaliwa

watu wanamsifia mrusi ila wakati wa kulala wanameza dozi kwa msaada wa watu wa marekani nilitegemea kuonyesha mfano wangesusa wapambane na misaada kutoka urusi

nilitegemea pia hata mifumo ya mawasiliano tungeusa mfumo wa android na iOS za wamarekani tumgeukie mrusi hii ndio inaitwa unamsifia mrusi mchana usiku unaenda kula na kulala kwa mmarekani

wazungu wamewekeza sana Africa na wengine ni wanufaika wa ajira kwenye makampuni yao ila mrusi hata hapa tz sijui ana makampuni mangapi

viongozi wa africa shida zikitokea mabakuli ni nchi za mangaribi ila urusi sijawahi jua anafaida gani ulimwenguni
Unaweza ukaja kushangaa siku moja kwamba hao unaowaona kuwa hawana interest kwako, ndiyo wale ambao ni wazuri mno kwako
 
Haya mataifa ya kicomunist sijawahi kujua mpaka sasa yana faida gani mimi naona hata apa Africa hayana interest yoyote hata Putin tu kutia mguu Africa tokea aingie madarakani sijawahi muona

kuna watu hapa wanamsifia mrusi ila miili yao imejaa alama ya chanjo za bure za wazungu tokea wamezaliwa

watu wanamsifia mrusi ila wakati wa kulala wanameza dozi kwa msaada wa watu wa marekani nilitegemea kuonyesha mfano wangesusa wapambane na misaada kutoka urusi

nilitegemea pia hata mifumo ya mawasiliano tungeusa mfumo wa android na iOS za wamarekani tumgeukie mrusi hii ndio inaitwa unamsifia mrusi mchana usiku unaenda kula na kulala kwa mmarekani

wazungu wamewekeza sana Africa na wengine ni wanufaika wa ajira kwenye makampuni yao ila mrusi hata hapa tz sijui ana makampuni mangapi

viongozi wa africa shida zikitokea mabakuli ni nchi za mangaribi ila urusi sijawahi jua anafaida gani ulimwenguni
nchi za mangaribi ndiyo zipi LICHADI?
 
Back
Top Bottom