Nina Milioni moja, Biashara gani nawezafanya?

Peleka nguo majeans na mapullover hapo mbeya mjini. Utakuja kunishukuru
 
Nguo za mitumba nadhani sehem karib na chuo ukifungua duka haichukui mwaka unakuwa na too much money tunaanza kukuita lupinduko vunjabei ila uloge kidogo kabla hujaanza biashara usomewe dua [emoji1787][emoji1787]
 
Uza mitumba online nasikia mbeya mnamitumba mizuri. Unaweza anza na nusu mtaji kulinda kingine
 
Amka nenda katafute laini za uwakala (ni bure kabisa) ukiwa na LESENI na Tin NO.

Yawezekana huna leseni wala Tin No. Usijali najua hukosi ndugu au jamaa anaefanya biashara unaemwamini ktk ukoo wako.

Mfate Muombe utumie documents zake kupata hizo LAINI.

Ukifanikiwa kuzipata Utakua umeula.. Hapo 1m yako utakua bado ipo vile vile au utakua umeipunguza kidogo kwenye kulipia mihuri ya mwanasheria na Assume kama 100k Imekatika.

Hivyo umebaki na 900k.

Tafuta mabango ya uwakala vipeperushi kila kitu tafuta,nunua meza yako ya cello na kiti na mwamvuli wako.. Utapunguza tena 100k utabaki na 800k.

800k hii yoteee kanunulie Mitungi ya gas ya Oryx na Mihan nunua

Mihan kubwa 2 (63,000×2) = 126k
Mihan ndogo 3 (33,000x3) = 99k
Oryx kubwa 2 (92,000x2) = 184k
Oryx ndogo 3 (40,000x3) = 120k
Total 529,000

Katika ile 800k yako utabaki na 271,000

Sasa hii 271 toa hiyo 71k itumie kulipia eneo utalokaa kwa ambapo inaweza ikawa kwa siku 2000 au 3000 inategemea na wapi umepata eneo.. nyingine tumia kulipia sehemu ya kwenda kulaza mitungi yako (malipo ni kwa siku)

200k itayobaki sasa itumie kama mtaji wako wa mpesa/tgo pesa/airtel money.

Miamala yako hakikisha unahudumia wateja wanaotoa na kuweka sio zaidi ya 20k akija wa kutoa 5000 hudumia yeyote wa chini ya 20k muhudumie.

Huku pembeni mitungi yako unaendelea kubadilisha kwa wateja wa majumbani..

This means Unakua umepiga ndege wawili kwa jiwe 1.. kwa 1m yako hyo hyo umepata biashara ya UWAKALA na BIashara ya GAS.

Kwa siku ukibadilisha mtungi m 1 tu wa oryx mkubwa FAIDA 5000...

Ukibadilisha mtungi 1 mdogo wa mihan faida 2000 (depends na eneo lako mnabadlisha kwa bei gani)

Kwa mitungi yako tu assume kwa siku ubadilishe mtungi 1 mdogo na m1 mkubwa means una 7000 x 30 = FAIDA hiyo.

Sasa Basi: Sijamaliza.

wakati ukiendelea na biashara ya gas mteja akija kubadilisha gas mtungi wowote Hela yake usinunue gas ingiza kwenye miamala uendelee kuizungusha..

Usiagize gas mpaka ubaki na mtungi mkubwa 1 wenye gas mdg 1 wenye gas ndio uagize.. kwahyo mtaji wa gas unaendelea kuuzungusha kwenye miamala ya simu... (unazidi kumultply faida)

Kufika mwisho wa mwezi faida utayoimake kwenye miamala + zile za kwenye gas hautoamini hata kama mwanzo ni mgumu ila ugumu wa mwanzo wako utatofautiana pakubwa na wale wenzako wanaotumia 1M kufungua aina 1 ya biashara..

Am done Ndugu. Thanks.
 
Mchanganuo wako nimeupenda bt nawaza kwenye uhalisia itatake place mana kwenye line lazma kianzio ni lak tatu
 
Siandiki Theory Mkuu, Ili uamini siandiki theory Tafuta documents (leseni+tin) niandalie na yangu 50k Nakusaidia unapata laini in 12hrs unakua na laini yako mkononi.

hamna cha kianzio wala amount yakutakiwa uwe nayo ili kupata LAINI ni unatoa details unapewa laini. Mambo ya kianzio laki 3 (ni kwa wasio jua pakuingilia na kutokea)
 
Amka nenda katafute laini za uwakala (ni bure kabisa) ukiwa na LESENI na Tin NO.

Yawezekana huna leseni wala Tin No. Usijali najua hukosi ndugu au jamaa anaefanya biashara unaemwamini ktk ukoo wako.

Mfate Muombe utumie documents zake kupata hizo LAINI.

Ukifanikiwa kuzipata Utakua umeula.. Hapo 1m yako utakua bado ipo vile vile au utakua umeipunguza kidogo kwenye kulipia mihuri ya mwanasheria na Assume kama 100k Imekatika.

Hivyo umebaki na 900k.

Tafuta mabango ya uwakala vipeperushi kila kitu tafuta,nunua meza yako ya cello na kiti na mwamvuli wako.. Utapunguza tena 100k utabaki na 800k.

800k hii yoteee kanunulie Mitungi ya gas ya Oryx na Mihan nunua

Mihan kubwa 2 (63,000×2) = 126k
Mihan ndogo 3 (33,000x3) = 99k
Oryx kubwa 2 (92,000x2) = 184k
Oryx ndogo 3 (40,000x3) = 120k
Total 529,000

Katika ile 800k yako utabaki na 271,000

Sasa hii 271 toa hiyo 71k itumie kulipia eneo utalokaa kwa ambapo inaweza ikawa kwa siku 2000 au 3000 inategemea na wapi umepata eneo.. nyingine tumia kulipia sehemu ya kwenda kulaza mitungi yako (malipo ni kwa siku)

200k itayobaki sasa itumie kama mtaji wako wa mpesa/tgo pesa/airtel money.

Miamala yako hakikisha unahudumia wateja wanaotoa na kuweka sio zaidi ya 20k akija wa kutoa 5000 hudumia yeyote wa chini ya 20k muhudumie.

Huku pembeni mitungi yako unaendelea kubadilisha kwa wateja wa majumbani..

This means Unakua umepiga ndege wawili kwa jiwe 1.. kwa 1m yako hyo hyo umepata biashara ya UWAKALA na BIashara ya GAS.

Kwa siku ukibadilisha mtungi m 1 tu wa oryx mkubwa FAIDA 5000...

Ukibadilisha mtungi 1 mdogo wa mihan faida 2000 (depends na eneo lako mnabadlisha kwa bei gani)

Kwa mitungi yako tu assume kwa siku ubadilishe mtungi 1 mdogo na m1 mkubwa means una 7000 x 30 = FAIDA hiyo.

Sasa Basi: Sijamaliza.

wakati ukiendelea na biashara ya gas mteja akija kubadilisha gas mtungi wowote Hela yake usinunue gas ingiza kwenye miamala uendelee kuizungusha..

Usiagize gas mpaka ubaki na mtungi mkubwa 1 wenye gas mdg 1 wenye gas ndio uagize.. kwahyo mtaji wa gas unaendelea kuuzungusha kwenye miamala ya simu... (unazidi kumultply faida)

Kufika mwisho wa mwezi faida utayoimake kwenye miamala + zile za kwenye gas hautoamini hata kama mwanzo ni mgumu ila ugumu wa mwanzo wako utatofautiana pakubwa na wale wenzako wanaotumia 1M kufungua aina 1 ya biashara..

Am done Ndugu. Thanks.
Asante Sana kwa muongozo cc Smart911
 
Nguo za mitumba nadhani sehem karib na chuo ukifungua duka haichukui mwaka unakuwa na too much money tunaanza kukuita lupinduko vunjabei ila uloge kidogo kabla hujaanza biashara usomewe dua [emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuu nazidi kupata concept
 
Mkuu Lupinduko Lupinduko Hongera kwa Mchanganuo mzuri.
Mi naomba nimpe changamoto za hizo biashara 2 ulizomchanganulia:
  1. Mihamala: Changamoto ni Utapeli, Mitaani kuna utitiri wa Mawakala na hivo Mzunguuko si kihivo, location rasmi ni gharama na zisizo rasmi ni very risk, kwenye location zisizo rasmi wkt wwt mwenye eneo lake anakutoa kisha anafungua yeye Biashara ya Mihamala! Ni biashara nzuri ukivivuka vihunzi.
  2. Biashara ya Gas: inahitaji uwe na Biashara Mama inayokuBack-Up - siyo ya kuitegemea, wanunuzi wa Gas sio wateja wa kila siku - kuna wanaotumia Mtungi kwa Miezi Miwili, Wateja wa Gas wana-Bond zao walizozoea... wengi wananunua kwa Mangi wk wa sk zote na ana uhakika wa kukopeshwa in case kaishiwa Gas akiwa hana kitu, sio rahisi kuuza mtungi 1 kila siku....
 
Back
Top Bottom