Mwenye uzoefu na "Mykariakoo".

Mwenye uzoefu na "Mykariakoo".

Lundavi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
328
Reaction score
326
Kwa tunaotokea nje ya dar es salaam Kwa yeyote aliyewahi kununua bidhaa Kwa Hawa jamaa na ikamfikia bila changamoto tujuzane. Kuna bidhaa nimeiona nataka ninunue na wanasema wanaagiza Hadi mikoani Kwa gharama ya 10,000/=
 
Hapana huna haja ya Kumpa mwenzako taharuki Bro..

Me ni miongoni mwa tunaofanya Biashara na kwa mtindo huo..

Utaratibu upo hivi[emoji116]
1. Unatuambia Bidhaa gani umeipenda Kisha tunakubaliana na kuelewana Bei.

2. Unatupatia mawasiliano yako ili tukupe utaratibu wa namna ya utakavyo pokea mzigo wako hadi hapo ulipo..
mawasiliano yahusishe;-

. Jina Lako Kamili Maarufu
. Mahali Mkoa uliopo.
. Namba yako ya Simu Inayopatikana Muda wote offline.
. Pendekeza Kampuni gani Ya Bus ungependa Tutumie Kukufikishia mzigo wako.

3. Malipo ya Manunuzi utayafanya baada Ya Kupokea mzigo wako hapo ulipo Kupitia M-PESA au TIGO PESA n.k

4. Ghalama za Usafiri wa Bidhaa yako kwa watu wa Mikoani huwa Ni juu ya wewe mteja.. na Mara nyingi kwa Mizigo ya kawaida huwa ni Hiyo Tsh. 10,000/= tu na Risit tunakutumia picha yake.

Sasa haya Nambie kwa UTARATIBU huo wapi Kuna utapeli ?? hapo labda Tapeli utakuwa wewe mteja.. kwamba sababu Bidhaa itakuwa imekufikia kwenye mikono yako uamue kumdhulumu muuzaji na kublock namba yake.. Ndio changamoto Tunazokutana nazo.

Watanzania Mara nyingi huwa Tunapenda kuaminiwa Ila sisi Kuamini wengine ni kazi.

UKIHITAJI HUDUMA ZETU:- 0674 7454 63 (Call & WhatsApp)

Karibu Tukuhudumie with Trustfulness and Panctuality.
 
At your own risk, ni kweli wanamaduka yanaoyoonekana waziwazi na ni makubwa haswa...
 
Kwa tunaotokea nje ya dar es salaam Kwa yeyote aliyewahi kununua bidhaa Kwa Hawa jamaa na ikamfikia bila changamoto tujuzane. Kuna bidhaa nimeiona nataka ninunue na wanasema wanaagiza Hadi mikoani Kwa gharama ya 10,000/=
Ngoja waje wakupe muongozo
 
Back
Top Bottom