Habari za leo wanaJF
Mimi swali langu la leo nalielekeza kwenye sector ya mikopo midogo midogo maarufu kama microfinance.
1. Je kwa Tanzania tuna aina gani za microfinance institutions? N
2. Ni...
Habari ndugu zangu, naomba kwa yeyote mwenye kujua chimbo/sehemu panapouzwa vifaa/spare za pikipiki za mchina Kama SAN LG, HAOUJUE NA SINORAY kwa bei ya jumla na bei rafiki tafadhari naomba...
Hesabu hazidanganyi..
Mwaka 2011 bei ya Bitcoin ilikua around 1usd per coin. Sasa tuchukulie nchi ya Tz ingetoa walau 200mil na kununua bitcoin (badala ya kumnunulia DED au DC v8 la kutembelea)...
Kumekua na malalamiko mengi kuhusu huduma mbaya kwa wateja hasa kutoka kwa mashirika ya Umma, na leo nimekutana na hili, ninafikiri kushare hizi experience na kama wahusika wanaona basi iwasadie...
Kwa wale ambao wanahitaji mikopo au wanaofanya shughuli zao kwa kutegemea facilities za Mabenki kwa kweli hili jipu linahitajika kuangaliwa upya.
Kwa hapa nchini ukiangalia Prime Lending Rates...
Katika ulimwengu wa biashara, ni kazi ngumu kuifanya biashara idumu na kukua kuliko kuianzisha hata kama ulianzisha kwa mabilioni ya pesa. Biashara nyingi huanzishwa kila siku na biashara nyingi...
Wadau naomba Msaada wa Ushauri juu ya Biashara ya MPESA
1. Mtaji kwa kila Mtandao
2. Bidhaa za kuchanganya na Mpesa
3. Faida na Hasara
4. Changamoto zake
Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa...
MRADI WA RELI YA KISASA (SGR) MOTO NI ULE ULE
Fact Teller
Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudhihirisha Umahiri wake katika kuhakikisha Mradi wa Reli ya Kisasa SGR haulali [emoji579]...
Hi, nahitaji kuwasiliana na mtu wa ndani wa TANESCO, nina project/innovation nataka kushirikiana nao.
Najua JF ni kubwa na nitaweza kuunganishwa nae.
Naogopa VISHOKA wanaoweza kuiba idea yangu...
Aisee kama wewe ni msafiri kati ya JNIA (Dar) na ama Kilimanjaro (KIA) au Mwanza (Kwa Mbeya PW ameshachemsha na haendi tena).
Utakuwa ume-note jinsi hawa Precision (PW) wanavyopelekwa mputa mputa...
Habari zenu na poleni na majukumu wadau wa hili jukwaa,me naomba mawazo yenu juu ya hii biashara kuna jamaa zangu wapo nje (dubai na china) sasa wamenishauri niwe nashirikiana nao wawe wananitumia...
Naombeni kama kuna mtu alieko South Africa kuna kitu nahitaji huko cha Tsh 1,000,000 ila kutokana na kutoaminiana naomba alipie kabisa anitumie nikikipata nitamlipa na Faida juu.
Kama unaweza...
Habari za weekend wana jr, I hope mpo poa.
Wajuzi wa haya mambo naombeni msaada wenu, ni wapi naweza change Bahrain Dinar to Tanzanian Shillings?
Nimejaribu kwenda bank zetu za humu ndani lakini...
Habari wana JamiiForums
Mimi ni kijana ninae hitaji kufungua kampuni ya upimaji viwanja. Kitaaluma Mimi nimesomea ualimu na nimehitmu mwaka huu (2018). Hivyo sina ujuzi wala uzoefu na kazi hii...
Juzi kati apa nilipata wazo zuri sana kwenye hii industry ya malipo ya mtandaoni. Na ningependa kujua ni sheria gani natakiwa kupitia au natakiwa niwe na kitu gani ili niweze kuanzisha mfumo huo...
Wapendwa Mimi ni mjasiliamali nipo moro nauza viazi rejareja nilikua naomba Kwa wafanya biashara wakubwa wanaopeleka dar viazi niweze kupata mawasiliano nao wanipitishie hata gunia tano hapa Moro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.