Tanzania ingenunua Bitcoin za milioni 200 mwaka 2011 leo tungekua mbali

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,252
34,200
Hesabu hazidanganyi..

Mwaka 2011 bei ya Bitcoin ilikua around 1usd per coin. Sasa tuchukulie nchi ya Tz ingetoa walau 200mil na kununua bitcoin (badala ya kumnunulia DED au DC v8 la kutembelea)..

200mil ni sawa na 86,956 usd (tuchukulie 1usd ni 2,300 Tsh).

Kwa bei ya 1usd per bitcoin maana yake Tanzania ingekua na umiliki wa bitcoins 86,956 kwa sasa!!

Sasa bei ya bitcoin moja kwa sasa ni around 60,000 usd.

Kwa bitcoin 86,956 ina maana leo hii Tz ingekua dola za marekani 86,956 x 60,000 = 5,217,391,304.35 cash!!

Sasa hizo ni USD tuzi badili ziwe Tsh...

5,217,391,304.35 x 2,300tsh = 12,000,000,000,000 Tsh!

Mimi sio mhasibu lakini nadhani hapo inasomeka trillion kumi na mbili net!

Kama nchi tungekua na 12trillion ina maana leo...

1. Tusingekua tunapitisha bakuli kwa mabeberu kuomba msaada wa kujenga stiglazi goji.

2. Tusingekua tunahangaika kuomba misaada kujengewa miradi ya maji.

3. Reli ingejengwa bila kungoja misaada

4. Tusingengojea misaada ili kujenga vyoo mashuleni.

Nk nk nk!

NB: Lazima tufikirie dunia inaenda kasi kweli kweli!
 
Wewe ulinunua ngapi?

Ninamjua bro mmoja alinunua 100 lakini baadaye akaziuza zilipofika dola kama 50 hivi...imagine angekomaa nazo mpaka sasa hivi?

Mambo haya hayana fomyula ya moja kwa moja japo watu wa hesabu na takwimu wanaweza kuwa na modeli zinazoweza kubashiri lakini kiukweli ni kubahatisha. Hakuna aliyejua kuwa zitafika huku. Serikali ingefanya hivyo halafu mambo yakabuma lawama pia zingekuwa nyingi kuwa imewatapeli raia wake...
 
Nimekupata mkuu!!

Kwanza nikujibu.. mimi sina bitcoin japo na hold some altcoins!

Turudi kwenye hoja yako ya pili kwamba mambo yakibuma!

Kwani ni projecr ngapi za serikali zimebuma tokea tumepata uhuru?

Kwa mtazamo wangu kuliko serikali itumie mil 400 kumnunulia RC V8 ingeweza nunua coins hata za 200mil!
 
That's it, and maybe now tungekua mbali kiuchumi kama serikali yetu ingewekeza kiasi cha kutosha in crypto currency(Bitcoin)
Tatizo kubwa nililogundua nchini mwetu, ni kutoendana na kasi ya teknolojia inayozid ku develop every morning, na tatizo hili linaanzia kwa serikali mpaka kwa raia wake, Leo hii watanzania wanashauriwa kufanya online businesses (i.e financial markets), wanakana kwa kuona kama wizi,utapeli na ujambazi nk (ilihali wengine hawajahi hata jihusisha)
Hii ni akili ya mtanzania mwenye kuishi kwa mazoea, ambae anaamini kuwa njia pekee ya kutengeneza kipato ni kwa kushinda barabarani,juani na ofisini kufanya kazi za watu
Kwa hali hii hatutafika popote kama tunaamua kuikana teknolojia na kuishi kwa desturi zetu za zamani, kwani DUNIA inaenda kasi Sana!
 
Kabla hujafikiria kuwekeza kwenye global market hakikisha kwanza UNAJUA PA KUANZIA. Kuna online sources nyingi za wewe kujifunza ukiwa serious!

Sikushauri umpe mtu akununulie coins au awekeze kwa niaba yako! Tafuta elimu, jitegemee!
Wewe angalia ushauri wa huyu jamaa Sasa komaa kuwa upewe mwongozo. Na kujifunza sio chiini ya miaka mitano ndo uwe na mwanga. Ila naelewa short term gratification or instant mafanikio yanapendwa sana
 
That's it, and maybe now tungekua mbali kiuchumi kama serikali yetu ingewekeza kiasi cha kutosha in crypto currency(Bitcoin)
Tatizo kubwa nililogundua nchini mwetu, ni kutoendana na kasi ya teknolojia inayozid ku develop every morning, na tatizo hili linaanzia kwa serikali mpaka kwa raia wake, Leo hii watanzania wanashauriwa kufanya online businesses (i.e financial markets), wanakana kwa kuona kama wizi,utapeli na ujambazi nk (ilihali wengine hawajahi hata jihusisha)
Hii ni akili ya mtanzania mwenye kuishi kwa mazoea, ambae anaamini kuwa njia pekee ya kutengeneza kipato ni kwa kushinda barabarani,juani na ofisini kufanya kazi za watu
Kwa hali hii hatutafika popote kama tunaamua kuikana teknolojia na kuishi kwa desturi zetu za zamani, kwani DUNIA inaenda kasi Sana!
Unadhani walioangalia na kuitenga dunia ya kwanza na ya tatu Walikuwa wajinga?

Systems creates markets. Unataka system inayomhudumia mtu wa Doha anaeishi kwenye jiji lenye less than 110 square miles imhudumie mkazi wa Harare au Dar es Salaam? Unplanned, uncoordinated Spatially distributed Settings???? Insanity
 
Mchezo wakuwekeza kwenye high risk investments. Risk ya uwekezaji wa hizi digital coins ni unmanageable, ukimwambia hili mtu akakukatalia ni wazi anataka akuibie.

Na hii sio serikali ya Tanzania tu hakuna public fund yeyote duniani itakayowekeza kwenye hii aina ya market.

Kwa hiyo una maanisha nchi ua El Salvador walipo amua bitcoin iwe medium of exchange au legal tender kwenye nchi yao walikua wanacheza mchezo?
 
El Salvador wamewekeza kwenye cryptocurrency? Bitcoin hata tesla anaitumia kama medium of exchange. Muulize Elon musk ni asilimia ngapi ya utajiri wake ameuweka kwenye digital currency.

El Salvador wameruhusu bitcoin itumike kama medium of exchange lakini sio kuwekeza fedha za serikali kwenye investment Yenye risk kubwa. Value ya bitcoin inaweza kushuka up to zero. Inaweza isichukue hata wiki kadhaa hilo kufikiwa. In a situation Watu wote waliohodhi digital coins wakitaka kuziuza thamani yake inashuka kwa zaidi ya 300% thats different to Gold. Naongelea gold maana nchi nyingi hata yetu imewekeza kwenye gold. Gold is a real currency.

Labda nikufahamishe au kama unafahamu nikukumbushe investment Yeyote ambayo risk factor yake hauwezi kuimanage haina thamani kufanywa. Ndio maana investors wote huangalia maswala ya hedging techniques and the rest.
 
Naona uneandika gazeti lisilo na mantiki.

Unasema Tesla anatumia bitcoin kama medium of exchange una uhakika?

Unasema El Savador hawajawekeza kwenye bitcoin je una habari rais wa El Salvador alitangaza ku mine bitcoins na kuzihifadhi?

Na sio ku mine tu na akaenda mbele zaidi na kusema kwamba faida atakayo ipata kwenye bitcoin ataitumia kwenye ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!

Je ku mine bitcoin na kuzi hifadhi "na kupata faida" sio kuwekeza kweli?
 
Naona uneandika gazeti lisilo na mantiki.

Unasema El Savador hawajawekeza kwenye bitcoin je una habari rais wa El Salvador alitangaza ku mine bitcoins na kuzihifadhi?

Na sio ku mine tu na akaenda mbele zaidi na kusema kwamba faida atakayo ipata kwenye bitcoin ataitumia kwenye ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!

Je ku mine bitcoin na kuzi hifadhi "na kupata faida" sio kuwekeza kweli?
I speak of risk. Ujinga ni ujinga tu ata ikatokea kundi fulani likaufanya. I won't speak of how peculiar El Salvador case is. Ila ukweli ni kwamba ni ujuha kwa serikali kuwekeza kwenye bitcoin.

Kwahiyo utaishauri serikali iwekeze kwenye bitcoin kwakuwa El Salvador wanawekeza? Will that backup Your consult? Au wewe binafsi utasema wawekeze kwa lipi?
 
Naona sasa unahamisha magoli baada ya hoja yako "mfu" ya kusema kwamba ElSalvador hawajawekeza kwenye bitcoin!

Na unaposema ni "ujinga ujinga" na "ni ujuha serikali kuwekeza kwenye bitcoin" una maanisha hata serikali ya El savador ni majuha kiasi kwamba hawajui wanacho fanya?

Nashauri usome posti yangu uelewe, hilo swali ulilo uliza hapo mwisho usingeuliza kama ungesoma mada na kuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom