Ni wapi naweza change Bahrain Dinar to Tanzanian Shillings?

Ni wapi naweza change Bahrain Dinar to Tanzanian Shillings?

karma

Member
Joined
Apr 21, 2022
Posts
35
Reaction score
52
Habari za weekend wana jr, I hope mpo poa.
Wajuzi wa haya mambo naombeni msaada wenu, ni wapi naweza change Bahrain Dinar to Tanzanian Shillings?

Nimejaribu kwenda bank zetu za humu ndani lakini haikuwezekana. Kwa anaejua another option naomba muongozo.
 
Nenda bank ya Kenya Ile KCB wale wanachukua fedha za aina hiyo ..kwa hapa Arusha wako pale mkabala na friends coner pale kwenye duka la frank knows..
 
Back
Top Bottom