Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na...
Habari wanandugu wa jamii forum
Leo nimeona niwakilishe biashara nayoifanya baada ya kutoka chuoni na kukosa kazi mtaani, niseme tu mapame hii sio (quick scheme) ya kuwa tajiri mapema,ama kuwa na...
Samahani wanaJf nilikua nahitaji compressor yakupasulia kokoto model XAS 96
Kama kunamtu anajua sehemu naweza kupata msaada please
Specifications zipo apa kwenye attachment
Habari wanajamii
Naomba kujuzwa bei ya kioo cha android screen lcd inch 10, kwn inaonekana kama touch imekufa. Hii ni kutokana na kutofanya chochote ukikigusa, ila ukitumia mouse, ipo vema.
Naomba...
kama mnavofahamu hawa watu na vikundi vingine mwanazoni viliingia mijini kama dar na baada ya kushtukiwa naona wameamua kujikita mkoani kwa wasio na uelewa.
Hiki kikundi kinaingiza vijana kwa...
Hii kampuni ilianza vizuri hasa safari za Dom-Dar-Dom....wakawa na huduma nzuri sana....wakapata wateja wengi ambao walihama kutoka makampuni mengine makongwe kama Shabiby, ABC etc..kila kitu...
Kampuni ya META inayomiliki whatsapp, facebook pamoja na Instagram, inatarajiwa kuanzisha duka lake la kwanza kabisa ambapo watauza bidhaa zao halisi mbali mbali. Bidhaa kama quest 2, meta portal...
Habari wakuu
Kama title inavyoeleza hapo juu, nilikuwa nafanya biashara ya duka la vyakula ambapo mtaji wangu ulikuwa milioni 50.
Sasa nimefilisika mpaka kufikia mtaji kubaki milioni 15. Sasa...
Je unataka kuwa kama MO ??
Fuata hatua hizi 7 utafika alipo MO..
1. Chagua wazo bora la kibiashara.
Wazo bora la kibiashara ndilo litakalo kufanya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Mara nyingi...
Habari,
Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride).
Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na...
Maisha ya zamani yalikuwa mazuri kwa sababu kila kitu kilikuwa na thamani.
Ila tokea simu janja kuwepo naona imebeba vitu vingi mpaka sasa na inapoelekea itaimaliza laptop kwa kazi nyingi.
Habari wana economics?
Kuna ishu moja nataka ku share na nyie kwa mtakaoona inafaa mnaweza fanyia kazi.
Nimetonywa na mdau wangu alieko kitengo flani cha Polisi huku DSM, kwamba wanakaribia...
Habari wakuu, nina ndoto za kufungua kampuni ambayo itakuwa ina deal na Mambo mengi, naomba kujua vitu vya muhimu ambavyo natakiwa kuviandaa au kujiandaa navyo.
Nawasalimu kwa lugha moja ndugu zangu.
Katika pilika za kusaka maisha nimefungua biashara yangu ndogo duka la mangi Ila changamoto inayonisumbua ni Hawa wakaguzi wa vileo mtaani.
Naombeni msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.