Tafadhali njoo inbox taarifa kamili zaHi, nahitaji kuwasiliana na mtu wa ndani wa TANESCO, nina project/innovation nataka kushirikiana nao.
Najua JF ni kubwa na nitaweza kuunganishwa nae.
Naogopa VISHOKA wanaoweza kuiba idea yangu.
Naomba kusaidiwa.
Asante