Kasomeko
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 627
- 1,215
Habari wana JamiiForums
Mimi ni kijana ninae hitaji kufungua kampuni ya upimaji viwanja. Kitaaluma Mimi nimesomea ualimu na nimehitmu mwaka huu (2018). Hivyo sina ujuzi wala uzoefu na kazi hii ninachotegemea ni kuajili wataalamu.
Nahitaji msaada wa jinsi ya kuandika mchanganuo wa biashara hii ya upimaji viwanja ili nitumie mchanganuo huo kupata mtaji kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Vilevile naomba kujua vifaa mhimu vinavyo tumika katika upimaji wa ardhi (viwanja) pamoja na gharama zake ikiwezekana na sehemu vinapo uzwa hapa Tanzania. Nategemea kununua vyangu na sio vya kukodi.
Natanguliza shukrani.