Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Nahitaji kujua toka kwa wafanyabiashara wa pikipiki au watu walionunua pikipiki tajwa siku za karibuni kwa Dar bei ni ngapi? Pia namba kufahamishwa ni idadi...
Wasalaam ndugu zangu.
Kuna hii mikopo inayotolewa kwa njia ya mitandao nadhani wengi wao tumekopa huko. Sababu wana ushawishi mkubwa mnoo wa matangazo yao
M-pawa nilianza kukopa tangu nipo chuo...
Habari, Kuna mradi wa viwanja vya Bei nafuu kigamboni, Moja ya sehem zinazokua kwa Kasi sana. Kuna kampuni ya property investors company Ltd Ina mradi mkubwa wa viwanja Mbutu na Cheka Kigamboni...
Greetings JF massive!
Kama kawaida leo nimepata time nataka nikuonyeshe jinsi vile unavyoweza kufanya kazi kama Online Freelancer na kutengeneza kipato kizuri tu kwakutumia Skills ulizonazo +...
Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni...
Wasalam wanajukwaa. Mimi ni muajiriwa nimejichanga nikapata huo mtaji, nilikuwa naomba ushauri na namna ya kuanzisha biashara husiku hasa kwa Dar. Asanteni
Wengi wanatamani kumiliki biashara kubwa kubwa, lakini mwisho wa siku wanakuwa ni watu wa kutamani tu, wakianzisha biashara kesho watafunga na wataamia nyingine na mwisho wa siku hakuna biashara...
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu wa biashara inayohusisha bidhaa kutoka nchi moja na nyingine mfano kutoka Kenya kuja Tanzania kwa biashara ndogo ndogo za bidhaa Kama vile...
Wakuu habari za majukumu
Nimatumaini yangu mko PowAhh. Naomba kupata mwongozo kwa yoyote mwenye kufahamu process na mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze pata pikipiki za mkataba kutoka NMB maana...
Habari za wakati huu wakuu;
Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na...
Habari wakuu
Nimeona watu wengi wakifanya biasha ya pombe
Naomba kuuliza huvi mtaji wa kufungua min store ya pombe bei gan!! (Kama duka la kuuzia pombe).
Kwanza napenda kusema na kukiri wazi mimi ni mmoja wa wale waliokua wakiamini katika msemo ambao watu wengi sana hupenda kuutumia kwamba kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza huu msemo ni kweli...
Nchi ya Tanzania ina faida ya kuwa na maeneo ya Uvuvi makubwa katika mikoa mbalimbali. Karibu Kila mkoa kama hakuna mto mkubwa basi Pana Ziwa kubwa au hata bahari ambayo ni mazingira mazuri ya...
Habari wana JF.
Mimi ni mjasiliamali, mkulima wa zao la katani na korosho wilaya ya lushoto huko ndiko nilikowekeza. Naombeni ushauri juu ya namna ya kuanzisha kampuni ya Drinking Water, maji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.