Biashara ya vifaa vya simu kutoka Dubai/China

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
2,180
Reaction score
3,421
Habari zenu na poleni na majukumu wadau wa hili jukwaa,me naomba mawazo yenu juu ya hii biashara kuna jamaa zangu wapo nje (dubai na china) sasa wamenishauri niwe nashirikiana nao wawe wananitumia vifaa kama vile battery,memory card,flash na charger halafu mm niwe nasupply kwa jumla mikoani sasa kabla sijafanya maamuzi yeyote nmeona nilete apa jukwaani hili nipate mawazo yenu kuhusiana na kila kitu kwenye hii biashara,shukrani.
 
cha muhimu wewe waulize jamaa zako mzigo kutoka huko mpaka hapa uta-cost kiasi gani plus usafiri alafu fanya udadisi customs na duty kwa vifaa hivyo huwa ni kiasi gani ongezea faida yako upate bei ya kuuzia..

Baada ya hapo pita kwenye maduka ya simu na wauzaji as well as kutangaza humu jukwaani kwamba unauza mzigo wa jumla kwa bei fulani.., kama bei yako itakuwa bado chini au sawa ya wanaponunulia utakuwa na viable business
 
Shukrani kiongozi ngoja nifanyie research iyo issue ya tax
 
Kaka ina maana havina ushuru wowote?itakuwa vzur kama ni ivo mana wale jamaa tra pale airport wananjaa hao

Vifaa vingi vya electronics na mawasiliano havina ushuru waweza fika TRA wakakupa booklet inayoelezea kipi kina ushuru na kipi hakina na ni kiasi gani
 
Kitu ambacho hakina ushuru kwa sasa ni computers tena computer system.., ukileta printer peke yake inakatwa ushuru landa ulete printer na computer kama system.., ukileta accessories zina ushuru hivyo hata ulete hard drives, keyboard, ram unakatwa ushuru.., kwahio Mbushuu ulizia hao jamaa wataleta kwa njia gani.., sababu ni vitu vidogo vidogo huenda wakatumia door to door (DHL, Fedex n.k.) kama ni DHL pita pale DHL ongea nao watakuwa wanajua mtu anayewafanyia clearance watakupa estimate za gharama zikoje, kama mzigo mkubwa na utaleta kwa air cargo au meli (sikushauri ufanye hivyo kwanza anza kidogo utest soko...) basi hapo clearance utafanya wewe kwa kutumia clearing and forward company
 
Last edited by a moderator:

Kaka ina maana havina ushuru wowote?itakuwa vzur kama ni ivo mana wale jamaa tra pale airport wananjaa hao

Vifaa vingi vya electronics na mawasiliano havina ushuru waweza fika TRA wakakupa booklet inayoelezea kipi kina ushuru na kipi hakina na ni kiasi gani

Vina ushuru ingawa hata computer haina ushuru ila ukileta computer accessories unalipa ushuru..., dada Mbushuu fanya research usichukue hii kama ndio guarantee.., fanya kabisa research ujue mzigo mpaka ufike mikononi mwako utakuwa na bei gani na baada ya hapo margin yako itakuwa ngapi baada ya kuuza.., unaweza kuleta mzigo ukifika huku unashangaa bei uliyopanga kuuzia ni tofauti na uhalisia
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu na poleni na majukumu wadau wa hili jukwaa,me naomba mawazo yenu juu ya hii biashara kuna jamaa zangu wapo nje (dubai na china) sasa wamenishauri niwe nashirikiana nao wawe wananitumia vifaa kama vile battery,memory card,flash na charger halafu mm niwe nasupply kwa jumla mikoani sasa kabla sijafanya maamuzi yeyote nmeona nilete apa jukwaani hili nipate mawazo yenu kuhusiana na kila kitu kwenye hii biashara,shukrani.

Me naifanya japo nimeanza na mtaji mdogo lakini nashukuru unasogea.
uzuri wa vitu hivyo ni rahisi kusafirisha as unakuta mzigo wa milioni moja lakini haujafika kilo mbili.
Kwa ushauri inategemea na mtaji utakaoanza nao, kama una mtaji mkubwa tafuta fremu eneo lililochangamka uwe unauza rejareja kwa kumuweka mtu pia itakua store yako, wewe utakua na begi lako unazunguka kutafuta wateja wa hapa hapa dar na wa mikoani unaanza nao kwa kutengeneza nao connection kidogo kidogo.
Changamoto kubwa ni kuwa ukiwa una supply bila kuwa na ofisi/fremu permanent watu wanaogopa as anaweza kununua mzigo ukawa mbovu alafu hajui pa kukupata.
hivyo vitu ulivyotaja ukaongezea makava ya simu, earphones, mouse, mp 3 na mp 4, pads za play station, power bank n.k
 
cha muhimu wewe waulize jamaa zako mzigo kutoka huko mpaka hapa uta-cost kiasi gani plus usafiri alafu fanya udadisi customs na duty kwa vifaa hivyo huwa ni kiasi gani ongezea faida yako upate bei ya kuuzia..

Baada ya hapo pita kwenye maduka ya simu na wauzaji as well as kutangaza humu jukwaani kwamba unauza mzigo wa jumla kwa bei fulani.., kama bei yako itakuwa bado chini au sawa ya wanaponunulia utakuwa na viable business

kwa cost si kubwa sana, kibongo bongo kujitangaza watu wanataka mzigo kwanza wakiuona ndo wachukue.
so lazima aagize mzigo hata kama kidogo kidogo wakishauona ndo wanaweza kununua.
Au watakwambia kitu flani ndo tunataka ukiagizia lete tufanye biashara
 
Thanx me niko mwanza nazani itakuwa poa kwa hii kanda ya ziwa #mtengwa

kwa huko sawa....pia umejua watatuma mzigo wako kwa njia gani? namaanisha kama kwa ndege ni kwa kutumia makampuni ya kusafirisha mizigo kama DHL au kwa wao kumpa mtu anaekuja huku?
 
Bado sijajua njia nafuu ya kutuma mzigo ila nnachojua kampuni kama dhl viwango vyao vya kutuma viko juu,vip unanishaur nitumie njia gan ndugu?#mtengwa
 
urahisi wa kutuma na bei mtu anayetuma kule ndio anajua sababu mzigo unalipiwa shipment kule na sio huku.., ila kawaida mzigo wowote chini ya 50kgs door to door ni rahisi, kwenye kgs 50 mpaka 500kgs air cargo zaidi ya hapo ni meli
 
Back
Top Bottom