Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ilikuwaje? Je, uliwaambia ukweli baadaye au uliamua "kuuchuna" tu? Tuambie uzoefu wako kwenye comments. Ndugu Supplier wako wa muda mrefu mtoto wako mwenza wako bestie,
0 Reactions
6 Replies
207 Views
Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT. Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:-...
2 Reactions
4 Replies
217 Views
Anonymous
Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao...
0 Reactions
2 Replies
185 Views
Salamu kwenu wakuu. Ammaabaad. Wakuu mm nauza duka la mangi lkn Nina changamoto katika upimaji wa mafuta ya kula. Kwenye mazingira lilipo duka langu wakazi wa huku wamezoea vipimo vya 300,500...
4 Reactions
8 Replies
262 Views
Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza: "Huyo rafiki ni nani?" Leo nimeamua kumleta...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Habari wadau. Nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani Ruvuma kisha niwe nasafirisha na kuuza maeneo ya Tunduru, Masasi hadi Mtwara. Naomba mwenye uzoefu anipatie. Ruvuma nimeishi ila...
3 Reactions
7 Replies
521 Views
Nimegundua kwamba wengi wetu tulipokuwa kwenye umri wa ujana hadi utu uzima wa mapema tulifanya maamuzi ya kifedha ambayo wakati huo yalionekana sahihi, lakini leo tunatamani tungekuwa na maarifa...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Wakuu nimeangalia trend ya NMB, Leo kuna change ya 300+ kwene share !! Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii 1=15380 Tsh X=20,000,000 Kwaiyo milion 20 ingekua ni...
5 Reactions
29 Replies
767 Views
PART TWO Basi bwana, katikati ya mwaka wa 2023 nilipata pigo ambalo lilibadilisha kabisa ndoto zangu za kusonga mbele na nilifikia hatua ya kuwaza nirudi zangu Kijijini nikaanze upya na maisha...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Kiwanja chenye nyumba kinauzwab Bunju B Beach maeneo ya kwa Mjeshi. Kina hati. Sqm 600. Kuna self 3 double na single 2 zina vyoo nje. Wapangaji wapo. Kuna pagala halijaisha. Bei ya mwisho mil 90...
0 Reactions
5 Replies
194 Views
Nahitaji mashine ya kusaga na KUKOBOA UNGA WA SEMBE , mashine iwe na uwezo wa kusaga na KUKOBOA Tani 30 Kwa Siku.
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari Zenu Jina langu ni Juma Jumanne, KIJANA Mfanyabiashara wa Mazao SINGIDA Nilianzisha Kampuni Yangu (LYANGA FLOUR MILLERS) ya kusindika unga lishe, Sembe na Dona, lakini Biashara ilisimama...
13 Reactions
39 Replies
1K Views
Samahani wanajanvi. Naomba ufafanuzi nataka kuanzisha biashara ya kusaga na kukoboa mahindi. Hii biashara imesimamaje? Gharama za kuanzisha mashine zikoje? Kuna faida au hasara?
2 Reactions
37 Replies
11K Views
Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini...
1 Reactions
15 Replies
711 Views
Wakubwa habarini za leo, kuna hii kampuni ya wakenya inaitwa Bunny ndio wana tengeneza haya majiko ya ECOA induction cookers, naomba ambaye ameyatumia anipe uzoefu kabla sija jilipua kuchukua.
3 Reactions
63 Replies
1K Views
Kama wewe ni mnunuzi WA zao la vanilla please njoo inbox tuyajenge, uokoe jahazi linalotaka kuzama. Bei utapanga wewe ILA usipungue 30,000 kwa kilo.
1 Reactions
7 Replies
274 Views
Membership wa JF Nisaidieni nina Wazo la Biashara ya Electronics - Nahitaji Tsh 1,000,000 kama Mtaji. Habari za humu wakuu, Wakuu leo kidogo nimeacha na habari za mishangazi nimekuja kivingine...
13 Reactions
101 Replies
1K Views
Unawekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE? Hii hapa ndiyo ratiba ya magawio yanayotarajiwa kulipwa kwa wanahisa wa kampuni zilizoorodheshwa DSE. 24 Juni 2026 • NMB Bank: TZS 610.15 kwa...
1 Reactions
10 Replies
728 Views
Jipimie kuwazidi hawa waajiriwa wa taasisi kubwa kubwa, uweze kutengeneza angalau milioni 10 na zaidi kila mwezi, watumishi wachache sana wanavuka hapo ukiunganisha posho, mshahara na vidili...
0 Reactions
4 Replies
291 Views
FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo...
5 Reactions
11 Replies
254 Views
Back
Top Bottom