Yaani Kuna watu bwana
Hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha
Hii ni akili gani?
Yaani hela za mashamba ya urithi...
Habarini za asubuhi
Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu...
kuna siku moja mtu aliniuliza unapenda kitu gani mbali na kazi yako kukifanya kutengeneza pesa
bila kupepesa macho nikasema kupika,
kuna uzi flani hapa jf ulianzishwaga nyakati za nyuma kidogo...
Biashara ya kuuza vinywaji ni moja ya biashara zinazoweza kuwa na mzunguko mzuri wa fedha, hasa ukiifanya katika eneo lenye wateja wa uhakika. Vinywaji kama Konyagi, K-Vant, mvinyo, bia, soda...
Habar za Leo Wana forum
Nilikuwa na wazo moja la kutengeneza Bajaj za umeme, ambapo Nina fabricate mwenyew kuanzia chases, electronics, mpk programing
Baada ya bajaji kukamilika mchakato wa...
Iwe Duka La Jumla Au Reja Reja Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Yupo Dar Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
Wakuu salama,
Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani...
Stori yangu inaanzia mbali, mwaka 2020 wakati ambao COVID-19 ilishika kasi, watu wanapunguzwa makazini, wengine wanapewa likizo bila malipo na wengine wanaendelea na kazi lakini mishahara inasua...
Wakuu habari za uzima wenu nyonte.
Si Kwa ubaya Kwa wale wote hasa wafanyabiashara ya nafaka (maharage) mchongo upo morogoro wilaya ya Gairo Kijiji cha Rubeho umbali kama wa dk20 kutoka Gairo...
Wakuu kheri nyingi kwenu. Happy Sunday!!
Nimevutiwa sana na biashara ya duka la kilimo na mifugo lakini kwakweli sijui vigezo ambavyo napaswa niwe navyo ili nifungue duka hilo na changamoto zake...
Habari zenu wana JF
Naomba ushaurii wenu wadau wa MASASI hapo town ni biashara gani INALIPA ambayo nitajikwamua kimaisha kwa mtaji wa million moja na nusu.
Nawasilisha kwenu wadau
Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta,
Majukwaa Kwa ajili ya kujengea,
Fox,
Mapipa ya kuwekea maji
Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk
Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi...
A. Wastani wa faida kwa mwezi kwenye mauzo - 800,000
B. matumizi -
TRA (kwa mwaka) 300,000
leseni (kwa mwaka) 120,000
frem (laki 5 kwa mwezi) 6,000,000
Taka (elf 5 kila mwezi)...
Habari mjasiriamali,
Leo ni tarehe 19 June,
Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026.
Deadline ni tarehe 30 June...
Habari wana jamiiforums!!, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝. Kwa yeyote anaeamini kuwa anapata au atapata pesa ya halali katika harakati zake hiyo sio kweli, zaidi zaidi utaendelea kuwa...
Nimeona jamaa anatuandikia nyuzi ndefu lakini ukiangalia hamna point hata moja nilitegemea nyuzi zake ziwe zinatoa suluhisho kwa kijana na mtu yoyote anayetaka kufanikiwa
Niliitegemea awaambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.