Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee...
Habari za muda huu:
Niende kwenye mada kabisa hivi mbona mimi kila siku stress za mizigo. Daah, biashara ni ngumu sana yaani. Mwezi huu nafurahi mwezi ujayo naanza stress yaani, hasa hizi za...
RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI
Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini.
Jimbo la Musoma Vijijini lenye...
Nilikuwa nikipita karibu na ile bank niliyokopa zaidi ya m18 moyo unaanza kimbia na pumzi nayo nzito😂😂😂😂
Mkopo kwa nia ya biashara, kujenga, gari ikatokea tu ghafla paap pesa huioni imekata bila...
Kwanza nianze na kusema kwamba fursa Ni nyingi sana ila tatizo mitaji tuu... Ma haswa watu wasio na mitaji kama mimi hizi fursa tunaziona sanaa..
1.KYELA, MBEYA TANZANIA NA FURSA ZAKE
=ufugaji...
Huu msemo ni wa kawaida sana. Ukiutafakari una maana nzito sana.
Kinachoingia kidogokidogo huchukua muda mrefu ila hakilingani na kinachoingia haraka. Kinachoingia kdgkdg kinadumu sana kuliko cha...
Salaam wakuu!
Hii app ya kikuu ina ukweli au uaminifu kwa kiwango gani?
Kwa sababu nimeona bei ya simu samsung S23 ultra plus nimeshindwa kuelewa. Hii ni bei halisi au namna gani hapa??
Waheshimiwa baada ya mapambano makali sana. nimefanikiwa kupata mtaji wa shilingi milioni nne. Sasa kutokana na mimi mwenyewe kuwa mvutaji wa sigara. Nimefikiria kufanya biashara ya sigara kwa...
Mimi ni kijana, mwajiriwa lakini katika kupambana na maisha na kufikiria idea mbalimbali za biashara nilikutana na mdada akanigusia kidogo sana kuhusu biashara ya kununua sigara kwa jumla na...
MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.
INTRODUCTION:
Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...
Na nikiri NAPENDA HELA SAA.
Yaani ukitaka niwe na Amani...
Wakuu habari, natarajia kufungua biashara ya kupaka kucha rangi na kubandika kucha rangi kwa wadada yan kuwa na frame mwenye kujua ABC ya hii biashara anipe muongozo tafadhari.
Inavyo onekana mitandao ya simu haiko Regulated kumaintain balnce of fairness kati yake na mlaji pamoja na a mawakala (Agent)
Hivi siku za karibuni ukianzia Dec 2022, Mitandao ya simu imekua...
Wakuu baada ya kukaa kwa Muda mrefu bila ajira, sasa nimepata sehemu.
Je kwa mshahara huu kwa jinsi nilivyo na usongo nataka kujiongeza Lakini sina Muda mwingi wa kusimamia naplan kumweka dogo...
Saffron is on its way from the ‘saffron bowl’ Pampore in Kashmir to the northeast as NECTAR in an ambitious project has successfully grown the spice at Yangyang in south Sikkim and parts of...
Ni kweli kila kizuri kipo Dar ila kuwepo hapo sio kwamba kinasaidia mikoa mengine kuibuka kwa majiji.
Wimbi kubwa la wasomi, wafanyabiashara, watafuta maisha, miradi na n.k limelekezwa Dar na ili...
Habari zenu Wakuu?
Ndugu zangu masika ndio hii mvua zinazidi kushika kasi kwenye baadhi ya mikoa mingi nchini, huu ni wakati sahihi wa kufaidika na mvua zinazoendelea kunyesha kwa kuwekeza kwenye...
MHE. AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 20 KUNUNUA MAJIKO YA GESI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA SINGIDA
SEMINA YA MAFUNZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UWEKEZAJI, RC MISSION MJINI SINGIDA
KAULI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.