Mwenye uzoefu wowote kuhusu Biashara ya Sigara

Adriel Vin

Senior Member
Jun 25, 2020
148
748
Mimi ni kijana, mwajiriwa lakini katika kupambana na maisha na kufikiria idea mbalimbali za biashara nilikutana na mdada akanigusia kidogo sana kuhusu biashara ya kununua sigara kwa jumla na kuwauzia wanaouza kwa rejareja. Binafsi sina experience wala mchanganuo wowote kuhusu biashara hii.

Naleta kwenu wadau nikiomba kwa yeyote mwenye mchanganuo wa biashara hii tupeane mawazo. Naomba kuwasilisha
 
Ukiona biashara yeyeto ambayo ni sumu au haramu haina hasara Ina faida. Bei ya jumla inafahamika na bei ya rejareja inafahamu so ni biashara ambayo unajua tayari faida yake kwa KILA uzo
 
Kwahiyo mkuu unashauri niachane nayo??
 
Daaaah umenikumbusha mbali mnooo.kama miaka 6 nyuma hapo pesa ilipigwa haswaaaa jamani.TCC ilikua na ubia n kampuni moja zambia Lusaka ikawa inaitumia mzigo w mapesa mingi mnooo. Ila zile sigara azigongwi jina km sport,sm n nyingine. Ss kazi ilikua ni moja pale boda tunduma tunazigeuza ruti kurdi Tanzania bila kwenda Lusaka. Tuna nunua sw n bule. Kisha tunauza kwa maduka y Jumla Tanzania mikoani. Ilikua pesa bhana
 
Mimi ni kijana, mwajiriwa lakini katika kupambana na maisha na kufikiria idea mbalimbali za biashara nilikutana na mdada akanigusia kidogo sana kuhusu biashara ya kununua sigara kwa jumla na kuwauzia wanaouza kwa rejareja. Binafsi sina experience wala mchanganuo wowote kuhusu biashara hii.

Naleta kwenu wadau nikiomba kwa yeyote mwenye mchanganuo wa biashara hii tupeane mawazo. Naomba kuwasilisha
Hii biashara mm nimefanya inalipa na inatoka balaa,ila uwe na mtaji wa kuanzia 3mil kuendelea,Unakaa wap,Kama uko Dsm Nenda pale tip top kwenye maduka ya vinywaji Ya jumla ukiwauliza watakupa detail zote,Or ukimwama nichek Dm ntakupa connection
 
Nisaidie namba yako mkuu tuweze jadili kuhusu hili
 
Hii biashara mm nimefanya inalipa na inatoka balaa,ila uwe na mtaji wa kuanzia 3mil kuendelea,Unakaa wap,Kama uko Dsm Nenda pale tip top kwenye maduka ya vinywaji Ya jumla ukiwauliza watakupa detail zote,Or ukimwama nichek Dm ntakupa connection
Kwema chief? hivi hii biashara ni lamza uwe wakala? au unaweza kwenda kuchulia mzigo kiwandani?
 
Back
Top Bottom