SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI
Na Timotheo Mathayo, Dodoma.
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetenga fedha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya...
Ni kitu ambacho nimekua nakiona sana saivi na naona watu wengi wakitamba mitandaoni kwamba wanapiga hela ya kutosha Forex. Mtu anatengeneza mpaka milioni 3 za kitanzania kwa siku. Kiukweli...
Nimetengeneza application inayotaka kufanana na uber kidogo, lakini hii inaweza kufanya kazi bila kutegemea google map, na hata kama upo Kijiji unaweza kuitumia.
Inahusu transportation and...
Wakuu kwema, naombeni ushauri.
Mimi nimeajiriwa na kaka yangu kwenye biashara yake hapa ila kitu kinanisumbua akili yangu ni hiki nafanya mauzo ila kwenye mahesabu hela haifiki tena hela kubwa...
Habari wapendwa. Nina mgodi mdogo wa dhahabu geita yani (planti)sasa nlkuwa nahitajii wataalam wa IT computer wawilii. Ambao nitakuwa nawalipa mshahara kila mwezi.
Habari zenu wanaJF,
Nina mpango wa kununua pikipiki used, nimeona mitandaoni Facebook na Instagram pikipiki nyingi zinauzwa. Ukiachana na hofu ya kununua bidhaa mbovu, hofu yangu kubwa zaidi ni...
SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza...
Salaam.....Good morning billionaires 😁😁😁😆 kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul.
ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita...
Hellow
ni kampuni ya utengenezaji na uuzwaji wa vinywaji baridi vya jamii ya cocacola, kwenye maeneo ya kanda ya ziwa, anaejua mmiliki wake atujuze tafadhali
Mara nyingi wamiliki wa biashara (kampuni) wengi huwaamini wafanyakazi wao kuendesha biashara zao katika idara tofauti za kampuni husika.
Wafanyakazi hawa huharibu biashara za mabosi wao either...
Wadau habari za muda,
Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninaomba mnisaidie mawazo yenu. Nilikuwa nimewekeza pesa zangu kama 30m kwenye mfuko wa UTT Amis, sasa faida ipo ila sio kubwa sana maana ni...
Habari Wa Jamii,
Naomba Tutoa Rai Kwa Wasomi Wetu Wale Walioamua Kujiajiri Kwa Kupenda Au Wale Wenzangu Na Mimi Kwa Sababu Ya Chamgamoto Ya Ajira.
Tunapofanya Biashara Ndogo Au Kubwa Tujaribu...
Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji...
Habari,
Lengo la huu uzi ni kuwashirikisha kuhusu kazi ya kujiajiri ya kubandika kucha bandia na kupaka rangi za maji kucha za akina dada na wake za watu katika suala zima la urembo!
Ujuzi...
Habari wakuu,
Nahitaji nikachukue bidhaa za kuweka katika stationery yangu na materials mbalimbali ya printing (karatas za aina mbalimbali) na vifaa vingine mbalimbali. Naomba kujuzwa ni sehem...
Wakuu habari.
Mi ni mfanyabiashara, Ila kwa Sasa biashara yangu niliyokuwa naitegemea imekwama. Nataka kujikwamua kutoka hapa nilipo.
Sijawahi kukopa, Ila kwa hali niliyofikia inanilazimu...
Habari za uzima wajasiria mali, nauliza mwenye uzoefu na biashara ya perfume anipe uzoefu kwa mtaji wa laki 3,
Machimbo na perfume za aina gani napaswa kuanza nazo.
Nb nipo dodoma, na nitakua...
Napenda kufanya biashara Comoros ya kupeleka mbuzi mwenye uzoefu wa hii biashara naomba msaada wake na biashara nyingne pia ambazo mtaji wake maximum M15, awe mzoefu anae kwenda kila siku.
Katika biashara ni muhimu kufanya kitu ambacho unakiridhia kutoka ndani ya moyo wako, ili ukikutana na changamoto usitupie watu lawama.
Mtu mwenyewe ndiyo uamue kipi upo tayari kukifanya halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.