Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu habari, Nisaidien kitu Hapa hivi kwa mtaji wa million moja nawezafanya biashara ipi wakuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BOOKKEEPING TERMS. Tumesema bookkeeping sio kwaajili ya wafanya biashara tu, hata mtu binafsi anaweza kuweka rekodi zake kutokana na shughuli zake za kila siku. Sasa kuna maneno madogo dogo ya...
16 Reactions
20 Replies
9K Views
Je, ungepata pesa kama hizi za Laizer ungezifanyia nini?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habar wana jf nna wazo la biashara ila sina mtaji[emoji27] wazo langu ni kufungua pharmaceutical industry or cosmetic industry tz hivyo mtu yeyte ambayo yupo stable financial anahitaji kuivest aje...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Nawa salimu kwa jina la M/Mungu. Niko na wazo la muda mrefu, nataka nianze Biashara ya uunganishaji (Assembly Business) kwa Bidhaa mbalimbali. Changamoto yangu Ni: 1. Nitumie njia gani ili...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hongereni kwa kazi. Kumekuwa na nyuzi nyingi za maulizo na nyingine za kuhamasishana juu ya biashara na njia anuai za kuingiza kipato. Uwepo wa jambo hill unaashiria kiu lakini namba ya kuikidhi...
3 Reactions
3 Replies
474 Views
Habari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week. #FUNGUKA. .......
6 Reactions
70 Replies
3K Views
Anatafutwa wakala wa Dubwi au slot machine mwenye biashara maeneo yoyote ya kigamboni. Commision ni 20% ya token za kila mzunguko. Kwa maelezo zaidi nicheki 0654867115
1 Reactions
0 Replies
788 Views
Wakuu habari zenu... Natamani kujua kuhusu hii biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu... Mtaji Vifaa Upatikanaji wa mazao Jinsi ya kutengeneza Kuhifadhi Soko lake... Karibuni kwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za wakati huu; Leo nataka nilete darasa fupi la jinsi ya kutengeneza website (Tovuti ) kwa ajili ya biashara yako kwa gharama nafuu kabisa.Nitaanza kwa kuelezea kidgo tovuti ni nini na...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Ukiwa masikini! Hakuna mtu anataka kujua chanzo cha umasikini wako, ila ukiwa na hela, watakuuliza umepata wapi. Kuna mwaka flani nilifungua ka-biashara, nikiwa na kamtaji Tsh milioni 2,800,000/=...
4 Reactions
9 Replies
927 Views
Sijawahi kuifanya biashara hii naombeni mwenye ufahamu anipe abc za biashara hii. Pia aniambie kwa uzoefu wake kwa siku unaweza kupata kiasi gani. Changamoto za biashara hii ni ipi. Nategemea...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Mwezi unatuendea mwishoni Allah atubariki sana ,Amiin Katika harakati zangu za maisha Huwa nimezoea sana vibiashara vidogo vidogo mana nilishajikatia tamaa huko ajira portal Kipindi ambacho...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi. Hizo hela za simu afadhari...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau za kutwaa!!! Jana katika pita pita Kwa wadau wangu kadhaa wakongwe mujini nikawachana kuwa wadauee "eeee" Leo kijana wenu Dina hela hata ya kipiga masta hebu nitoeni basi mdogo wenu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
MHE. JANETH MAHAWANGA ACHANGIA WIZARA YA TAMISEMI MIKOPO YA 10% Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janeth Elias Mahwanga amechangia Wizara ya TAMISEMI kwa kuiomba Serikali kuangalia...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Husika na kichwa cha habari. Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa haraka, nitakupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari wakuu; Kuna ndugu yangu yupo kwenye harakati za kufungua playstation center, naomba kujua taratibu za kupata vibali n.k... ili kuifanya biashara hiyo kuwa halali na wapi kwa kufanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Leo nakuja mbele yenu wana jf kuomba guidelines za namna ya kufungua ofisi ya kubet ofisi kubwa kabisa Kwa mzoefu na ambae alishawai kufanya hii kazi naomba anipe msaada. Swala la mtaji liko...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom