Nimeanza kulipwa laki 3 kwa mwezi nianzishe biashara gani?

Hongera kwa kupata ajira.

note this, mdogo wako hana vision na ari uliyonayo, expect anything, hata kurudishwa nyuma, mdogo wako ana passion gani? kidogo ukikijua anachopenda anaweza kujitahidi
 
Wakuu baada ya kukaa kwa Muda mrefu bila ajira, sasa nimepata sehem je kwa mshahara huu kwa jinsi nilivyo na usongo nataka kujiongeza Lakin sina Muda mwingi wa kusimamia naplan kumweka dogo. Nipo private sector hatuna Muda. Asanteni.
Ushapata mshahara hata mmoja?
ume save kiasi gani baada ya matumizi?

nakushauri anza kukopesha (dhamana iwe vitu bondi)

biashara ya kuweka mtu utafilisika
 
Sio rahisi nilijinyima tu nikakamilisha lengo mean kwa mahahara wa 300K ninakufanyia Savingi ya zaidi ya 100K kila mwezi na nyumbani nasaidia vilevile
Ulikua umepanga? Ulikua unajitegemea chakula? Vp kuhusu nauli? Toa maelezo kidogo
 
Back
Top Bottom