Kikuu App ni ya kweli?

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,553
3,515
Salaam wakuu!

Hii app ya kikuu ina ukweli au uaminifu kwa kiwango gani?

Kwa sababu nimeona bei ya simu samsung S23 ultra plus nimeshindwa kuelewa. Hii ni bei halisi au namna gani hapa??
Screenshot_2023-04-10-20-02-59-527_com.kikuu.jpg
 
Salaam wakuu!

Hii app ya kikuu ina ukweli au uaminifu kwa kiwango gani?

Kwa sababu nimeona bei ya simu samsung S23 ultra plus nimeshindwa kuelewa. Hii ni bei halisi au namna gani hapa??
View attachment 2583586
Hujui kusoma imeandikwa android phone s23 ultra+ sasa ukijichanganya ukaagiza ukidhani itakuja samsung umeliwa soma maelekezo ya bidhaa pesa yako itakupa unachotaka. Mnadata na picha alafu mnakuja kuwalaumu kikuu wakati hawana makosa yoyote
 
Asante mkuu. Na vipi kuhusu uaminifu wao hasa unapolipia kabla ya kupata bidhaa?
 
Soma vizuri bidhaa unayoagiza! Ila kimsingi wanaleta mzigo Kama swala Ni uaminifu kwenye kuleta! Ila they give you what you want
Hahahaa hapa wametumia janja janja hata kama ni waaminifu kwenye delivery. Hapa lengo no kumconfuse mteja ili aingie mkenge
 
Asante mkuu. Na vipi kuhusu uaminifu wao hasa unapolipia kabla ya kupata bidhaa?
Nimeshaagiza picha za ukutani, saa, smart watch, simu, darubini, tochi ya mwanga mkali, taa za gari nguo za watoto. Vitu vinakuja kama ulivyoagiza nguo za watoto tu ndio zilikuja rangi tofauti na kuna muda bidhaa inachelewa kidogo au inawahi aijawahi tumia app zingine ila kikuu nimewaelewa sana mpka sasa.
 
Back
Top Bottom